Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Features za MIUI 11

Mimi nimeikubali hiyo ya betri sever tu.
Inafanyaje?
Ni feature ambayo endapo betri ya simu imebaki asilimia chache na huna namna ya kuchaj kwa muda huo basi inaweka in hiyo feature hapo ina funga app zote kwenye screen na kubakiza app zile za muhimu tu kama vile app ya sms, dialer, na app nyingine utakayo chagua uitumie kwa muda huo kwa kufanya hivyo itaongeza muda wa simu yako kukaa na chaji.

Sijui kama kwa maelezo haya umenielewa mkuu. Hii ni tofauti na power saving mode.
 
Hivi wakuu nipeni ushauri hapa:
hivi nikiagiza mzigo nikiwa mkoa mara halafu kabla mzigo haujafika nikawa nimeenda mkoa mwingine,je hapo mzigo ukifika posta kunakua na faini ya kuchelewa kuuchukua na je mzigo utakua na Usalama?
 
Hii labda wenye experience watakujibu mkuu...
 
M nliagiza wireless hear phone kwanza ili nione kama wataweza leta kwa anuani yang,Nshapokea na sasa nataka niagize simu.
IMG_20191112_104720_5_1573629912969.jpeg
IMG_20191112_104725_3.jpeg
 
Naiseti vipi nielekeze
Mimi nimeikubali hiyo ya betri sever tu.

Ni feature ambayo endapo betri ya simu imebaki asilimia chache na huna namna ya kuchaj kwa muda huo basi inaweka in hiyo feature hapo ina funga app zote kwenye screen na kubakiza app zile za muhimu tu kama vile app ya sms, dialer, na app nyingine utakayo chagua uitumie kwa muda huo kwa kufanya hivyo itaongeza muda wa simu yako kukaa na chaji.

Sijui kama kwa maelezo haya umenielewa mkuu. Hii ni tofauti na power saving mode.
 
Hivi wakuu nipeni ushauri hapa:
hivi nikiagiza mzigo nikiwa mkoa mara halafu kabla mzigo haujafika nikawa nimeenda mkoa mwingine,je hapo mzigo ukifika posta kunakua na faini ya kuchelewa kuuchukua na je mzigo utakua na Usalama?
Mzigo ukikaa zaidi ya mwezi bila ya kuchukuliwa Unarudishwa ulipotoka.
 
Nenda posta. Chukua namba ya simu ya anaehudumia mwambia nna mzigo upo njiani lakini nasafiri. Naomba ukifika akugowadie unakoenda. Ukifika wana repark unatumwa uliko. Nimewaifanya hivo. Mzigo ulipofika nikatumiwa tena na posta kule nilipo
Hivi wakuu nipeni ushauri hapa:
hivi nikiagiza mzigo nikiwa mkoa mara halafu kabla mzigo haujafika nikawa nimeenda mkoa mwingine,je hapo mzigo ukifika posta kunakua na faini ya kuchelewa kuuchukua na je mzigo utakua na Usalama?
 
Mimi nimeikubali hiyo ya betri sever tu.

Ni feature ambayo endapo betri ya simu imebaki asilimia chache na huna namna ya kuchaj kwa muda huo basi inaweka in hiyo feature hapo ina funga app zote kwenye screen na kubakiza app zile za muhimu tu kama vile app ya sms, dialer, na app nyingine utakayo chagua uitumie kwa muda huo kwa kufanya hivyo itaongeza muda wa simu yako kukaa na chaji.

Sijui kama kwa maelezo haya umenielewa mkuu. Hii ni tofauti na power saving mode.
Duh MIUI hakuwa na hii feature?, alizidiwa na tecno, wanayo hii feature kitambo sana. Niliiona huko kwenye dabliyu fooo[emoji3] hapa Mi alichelewa sana. Samsung anayo pia, "Power mode"
 
Jamaa hii feature hakuwa nayo aisee...
Huwa inasaidia sana pindi ukiwa kwenye mazingira magumu ya kuishiwa chaj, na unahitaji uwe hewani.
 
Nenda posta. Chukua namba ya simu ya anaehudumia mwambia nna mzigo upo njiani lakini nasafiri. Naomba ukifika akugowadie unakoenda. Ukifika wana repark unatumwa uliko. Nimewaifanya hivo. Mzigo ulipofika nikatumiwa tena na posta kule nilipo
Hiyo labda Kwa items ndogo ndogo!!
Kwa simu utaambulia box,Charger na manual book's
 
Nenda posta. Chukua namba ya simu ya anaehudumia mwambia nna mzigo upo njiani lakini nasafiri. Naomba ukifika akugowadie unakoenda. Ukifika wana repark unatumwa uliko. Nimewaifanya hivo. Mzigo ulipofika nikatumiwa tena na posta kule nilipo
Nitaenda wanipe ABC
 
Back
Top Bottom