Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Umejibu tofauti na jamaa alivyomaanisha
Nazani SangaweJr alimaanisha kama jamaa angekaza moyo , basi kwa pesa hiyohiyo angepata simu iliyobora zaidi, endapo angeagiza online
 
Muda unaelekea kwisha, lakin hata ukiisha huna haja ya kufungua dispute kwakuwa mzigo utafika tu. Ushapakiwa kwenye ndege tatizo njia uliotumia huwa inakawia itabidi usubirie zaidi. Wasiliana na seller siku zikiisha kabla ya dispute.

Hizi dispute zenu tena za sh. 2000 zinafanya sellers wengi wasi opt kutuma mizigo huku kwetu
Unieleweshe! Maana ake nini au ndo siku 60 za protection zinaisha ni open dispute.. [emoji116][emoji116]View attachment 1271821View attachment 1271823
 
Me sijaopen dispute na sijawahi! Mzigo wenyewe wa $2 niopen dispute [emoji16] siku utakapofikia tu sawa sina haraka nao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…