Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 974
- 2,305
BF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu Black Friday ya mwaka gani hii?[emoji23][emoji23]Mambo ya black Friday.......View attachment 1277448
Boss wako ni wa jinsia gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Wakuu Nimejilipua na UMIDIGI POWER 64Gb ROM 4GB RAM
Ni baada ya kumuagiza bosi wangu aliyekuwa Marekani aniletee UMIDIGI A5 Pro naye kuniletea Hii Power.
Bado hajanipa Bei So tuombeane ibadilike iwe zawadi!
Igogo hapa..
Niseme tuu "anavutia"Boss wako ni wa jinsia gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Nilicancel order ya hii kitu nikaamia kwa redmi note 8Natumia xiomi a3..128 gb
Nataka nihamie kwenye ulimwengu wa xiaomi
Huvi kati ya xiaomi mi 8 na redmi note 7 pro ipi kali
Kuanzia performance to camera
Mkuu nimeshaorder note 8Ikiwa AMOLED display na In Display Fingerprint sensor ni vitu unavyopenda chukua Mi A3 lakini ujue resolution yake ni ndogo 720p wakati Note 8 ina 1080p.
Mi A3 haina Macro lens lakini Note 8 inayo. Mi A3 ina selfie kamera bora zaidi.
Ikiwa wewe ni mpenzi wa screen ndogo basi Mi A3 ndio simu ya kuchukua. Ikiwa wewe ni mpenzi wa Stock Android chukua Mi A3 lakini ujue utakosa utamu wa features za MIUI[emoji16]
Kwa mimi, Nadhani ningechukua Redmi Note 8 kuliko Mi A3 [emoji6]
Mambo ya black Friday.......View attachment 1277448
Mcheki Mr mobile huyo hapo akufanyie manuvaWakuu nina redmi note 3 yangu nataka niifufue.inakua kama ina mawenge flani hivi kioo chake na touch pia inazingua pemben mwa kioo.
Sijui kuagiza online,nani tuelewane aniagizie online touch na betri.nmeona vinauzwa bei za $3-9.
Ila nataka vifike haraka zaidi,siwez subiria wiki nyingi ntakosa mambo yakuhide sms na second space shemeji asije nidaka bure!
Hongera manake duuh simu yako ilikua imechoka sana kaiweke makumbusho tu mtani wangu.Black friday nimevuta note 7 redmi na lenovo 5zs
Posta wana risk sana mizigo yetu. Sijaamini kabisa leo kujua kuwa huku wilayani mizigo inatumwa kwenye costa na basi za abiria toka posta za mkoa[emoji17][emoji17]
Jana tracking ikanionesha mzigo umetumwa kuja wilayani, leo nafika naambiwa haujafika. Nikaanza kudadisi kulikoni. Naambiwa konda aliekabidhiwa kajisahau, walifuata asubuhi konda karudi nao mjini, mpk akija jioni tena ndio watapata mizigo.
Roho imeniuma sana yani. Simu yangu inazunguka na makondakta kwenye vibasi? This country
Bei ya lenovo mkuu tutajie.Black friday nimevuta note 7 redmi na lenovo 5zs
Uko wapiNina 250k hapa nataka xiaomi used in good condition 0753152345