Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Msaada tafadhali

Niko njiapanda kati ya redmi 7 na redmi 8 nikamate ipi ? Hii ndo mara yangu y akwanza nataka kujaribu kutumia xiaomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hem niambie changamoto gani unakutana nazo kwenye hiyo redmi 7 ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna in general kwa matumizi yangu ni tamaa tu ya kutaka kubadili labda kamera performance sio nzuri sana kwa wapenzi wa mipicha ila iko njema sana tu. Mr mobile mdogo wangu alifanya hio kazi kwa heshima kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…