Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Msaada tafadhali

Niko njiapanda kati ya redmi 7 na redmi 8 nikamate ipi ? Hii ndo mara yangu y akwanza nataka kujaribu kutumia xiaomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nisaidie jinsi ya kuagiza nataka nichukue note 10 pro nikienda laibaba mambo hayaeleweki
Kama inakupa wakati mgumu kuagiza nipe kazi, mzigo unafika ndani ya wiki mbili tu!
mmexport1576009153754.jpeg
20191212_195842.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hem niambie changamoto gani unakutana nazo kwenye hiyo redmi 7 ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna in general kwa matumizi yangu ni tamaa tu ya kutaka kubadili labda kamera performance sio nzuri sana kwa wapenzi wa mipicha ila iko njema sana tu. Mr mobile mdogo wangu alifanya hio kazi kwa heshima kubwa.
 
Back
Top Bottom