mkuu tuwekee mapicha picha basi tuone ubora wa camera ya hicho kifyatulioNipoo kaka nambieee...
Nipo Note 8 huku nimetuliaaaa. Kitu lainiiiii....[emoji38][emoji38][emoji38]
SangaweJr
Hapo ni Msalato kwenye Gulio!?Hawa jamaha kwenye camera wako gudi sana note 7 proView attachment 1291439
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa majibu mkuu ,vipi ukaaji wake wa chaji? Na kama ukiamua kuiuza utauza bei gani Unailinganisha vipi na redmi 8 ?Hakuna in general kwa matumizi yangu ni tamaa tu ya kutaka kubadili labda kamera performance sio nzuri sana kwa wapenzi wa mipicha ila iko njema sana tu. Mr mobile mdogo wangu alifanya hio kazi kwa heshima kubwa.
Kaka simu ni nzuri haina shida nadhani upande wa snapdragon redmi 7 ni mia sita na na redmi 8 ni mia nane chaji iko poa tangu saa kumi na moja na nusu asubuhi mpaka sasa ngoja nikuwekee ka pichaAsante kwa majibu mkuu ,vipi ukaaji wake wa chaji? Na kama ukiamua kuiuza utauza bei gani Unailinganisha vipi na redmi 8 ?
Samahani kwa maswali mengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss naona umeteleza kidogo!!!Kaka simu ni nzuri haina shida nadhani upande wa snapdragon redmi 7 ni mia sita na na redmi 8 ni mia nane chaji iko poa tangu saa kumi na moja na nusu asubuhi mpaka sasa ngoja nikuwekee ka picha
yaani mtu akiwa na 372,000 anachukua hiyo note 8?
Pitia maelezo vizuri nina redmi 7 sio note 7na mdau anaulizia redmi 7vs redmi 8 boss.Boss naona umeteleza kidogo!!!
1.Redmi note 7 ina chipset ya Qualcomm SDM660 Snapdragon 660 (14 nm)
2. Redmi note 8 ina chipset ya Qualcomm SDM665 Snapdragon 665 (11 nm)
πππHizi ndizo Xiaomi zenye Qualcomm Snapdragon 800 seriesπππ
1. Qualcomm SDM845 Snapdragon 845 (10 nm)
-Xiaomi Pocophone F1 anacheza kwenye hizo anga za Snapdragon 845
2. Qualcomm SM8150 Snapdragon 855 (7 nm)
-Redmi K20 pro
-Black Shark 2
-xiaomi Mi 9
-Xiaomi Mi Mix 3 5G
Safi sana kuna kipindi inabidi kuupgrade ili kuwa tofauti
Ila hiyo picha na Location ni balaa kama tuko Hollywood vile,
barabara ya wapi hiyo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
duh hapo bado hujaiwekea Google camera inatoa picha clear hivo aisee..big up
Karibuni sana na tuelendelee tuupa uhai huu Uzi. Nashawishika kuiacha hii redmi 7 soon nichukue note 8 . Awamu hii pia siagizi mimi.
Mdogo wangu wa Dodoma weka bei hapa za note 8gb 32 au 64 na gharama zako zote tujilipue.
Mh kaka ako mie ujue tatian mkongwe kabisa.
Mkuu wapi huku mana picha na eneo liko fresh sana!Jamaa ni fire..... Kaniagizia note 8 imefika kabla hata ya expected delivery date.... Note 4 inapumzika sasa..... View attachment 1290339
Sent using Jamii Forums mobile app