Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hawa jamaha kwenye camera wako gudi sana note 7 pro
IMG_20191213_150646.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna in general kwa matumizi yangu ni tamaa tu ya kutaka kubadili labda kamera performance sio nzuri sana kwa wapenzi wa mipicha ila iko njema sana tu. Mr mobile mdogo wangu alifanya hio kazi kwa heshima kubwa.
Asante kwa majibu mkuu ,vipi ukaaji wake wa chaji? Na kama ukiamua kuiuza utauza bei gani Unailinganisha vipi na redmi 8 ?

Samahani kwa maswali mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa majibu mkuu ,vipi ukaaji wake wa chaji? Na kama ukiamua kuiuza utauza bei gani Unailinganisha vipi na redmi 8 ?

Samahani kwa maswali mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka simu ni nzuri haina shida nadhani upande wa snapdragon redmi 7 ni mia sita na na redmi 8 ni mia nane chaji iko poa tangu saa kumi na moja na nusu asubuhi mpaka sasa ngoja nikuwekee ka picha
 
Boss naona umeteleza kidogo!!!

1.Redmi note 7 ina chipset ya Qualcomm SDM660 Snapdragon 660 (14 nm)

2. Redmi note 8 ina chipset ya Qualcomm SDM665 Snapdragon 665 (11 nm)

👇👇👇Hizi ndizo Xiaomi zenye Qualcomm Snapdragon 800 series👇👇👇

1. Qualcomm SDM845 Snapdragon 845 (10 nm)

-Xiaomi Pocophone F1 anacheza kwenye hizo anga za Snapdragon 845

2. Qualcomm SM8150 Snapdragon 855 (7 nm)

-Redmi K20 pro
-Black Shark 2
-xiaomi Mi 9
-Xiaomi Mi Mix 3 5G
 
Pitia maelezo vizuri nina redmi 7 sio note 7na mdau anaulizia redmi 7vs redmi 8 boss.
 
Back
Top Bottom