Mh kaka ako mie ujue tatian mkongwe kabisa.
Mkuu wapi huku mana picha na eneo liko fresh sana!
Ameen! Usijali mkuu. I deliver for you shopping.May you live long mkuu.. Maana soon naajipanga kupata miTv na mi home security camera... Will need your support kuniagizia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungeweka na gcam tuenjoy night shots...[emoji91][emoji91] ingewaka zaidi ya hapaHii kitu haihitaji third party camera app, kwani baada ya kuleta update ya miui 11, stock camera ni [emoji91][emoji91]View attachment 1290690
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hizo Redmi 7 Ana Qualcomm SDM632 Snapdragon 632 (14 nm)Pitia maelezo vizuri nina redmi 7 sio note 7na mdau anaulizia redmi 7vs redmi 8 boss.
Agiza
Ungekua na wenge ungefungua disputeNiliagiza chaja kwa China Mall pale AliExpress nikakoma. Maximum ilikuwa siku 43, mzigo ulifika baada ya siku 60+. Nilijifunza uvumilivu kuanzia hapo.. [emoji3] [emoji3]
Kunguru.
Huwa inafika baada ya Muda gani? Na mimi sio mzoefu kwenye biashara ya online.Agiza
Aaaah weweeee kama mzigo mi wa mpunga wa kutosha, uvumilivu weka pembeni mkuu. Utakuja ulie siku moja. Vumilia kwa parcel ndogo ndogo.Ungekua na wenge ungefungua dispute
Mi huwa naona mda mwingine kufungua fungua dispute ni kumuharibia tu seller ,yaani ni ka ujinga flani hivi amazing.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tujifunze uvumilivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado angekupa WI-FE.. [emoji3] [emoji3]Baadae nilikuja kustuka nikajilaumu kuwa ningemwambia sina bando.
Ungekua na wenge ungefungua dispute
Mi huwa naona mda mwingine kufungua fungua dispute ni kumuharibia tu seller ,yaani ni ka ujinga flani hivi amazing.......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tujifunze uvumilivu
Sent using Jamii Forums mobile app
275,000 nakuachia mdogo wangu mambo yasiwe mengi kabisa.
Huwa inafika baada ya Muda gani? Na mimi sio mzoefu kwenye biashara ya online.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu kubwa hiyo mkuu kwa ushauri Wangu kama hauna uzoefu ni bora umpe hela @Mr.mobile akuekee dhamana
Posta hawatabiliki likitokea lolote jamaa atawajibika mwenyewe.
Mi mwenyewe nina kaujuzi ila wenge likinipata kwenye mizigo ya hela nyingi, namtupia jamaa ahangaike
Sent using Jamii Forums mobile app
Hanaga shida huyo.Jamani huyu xiomi Mi store Naona kanitumia mzigo na expectation day ni terehe 15/12 napata wasiwasi aise. Mzigo umeruka tarehe 29/11 naanza kupata Mashaka nae tena. Mwenyewe experience na huyu seller anipe ABC zake aise.
Sent using Jamii Forums mobile app