Kamanda SPYMATE ndiyo aliripoti hii Issue kwa Mara ya kwanza.
Hata Mimi huo upepo ulinipitia nikasema siibiwi kifala hivi!!
Niliwaibukia Voda shop pale China plaza nikawaona wanaruka ruka tu hawajui walifanyalo.
Ikabidi niende Mlimani City ndiyo wakasema kuwa system yao inashida So Ombi litafanyiwa kazi na pesa zitarudi baada ya 72hrs.
Ila ziliingia kwenye card baada ya 24 hrs.
Nilichogundua ni kwamba siyo Voda shop zote wana weledi na haya mambo pia ukipotezea pesa hazirudi zenyewe!!
Kuwasaidia wale wasio na mda wa kwenda Voda shop hiyo hapo link ya whatsap ya Voda watashughulikia ombi Kwa kupeleka idara husika.
WhatsApp
Partager sur WhatsApp