Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Xaomi redmi S2, Android 10 [emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
 
Ha ha ha kuna watu humu wanatiaga wenge unaweza ogopa. Ila saizi dawa nishaijua naagiza mzigo wowote saizi nataka nijilipue na mzigo wa mil 1[emoji119][emoji114] posta tutafahamiana tu
Dumelang
 
Hizi kazi ukishaagiza zaidi ya mara moja, automatically unakua sugu

kuna kipindi unakoboka kuanzia unapoanza kulipia , bado seller kuship nako unakuta zengwe, unakomaa kibishi

mwisho unakuta TRA nao wametegesha kikaango, hapo ukifikiria ulivyoisotea unakua mpole wafanye watakalo [emoji28]
Ha ha ha kuna watu humu wanatiaga wenge unaweza ogopa. Ila saizi dawa nishaijua naagiza mzigo wowote saizi nataka nijilipue na mzigo wa mil 1[emoji119][emoji114] posta tutafahamiana tu

Dumelang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wadau kama alivosema msau mmoja hapo juu hawa voda mastercard wanaiba pesa. Jamaa aliposema ndio nikaemda kuthibitisha.

Juzi ni unload tsh 5000 kutoka vodacom mastercard kuja m-pesa. Nilipo maliza sikupata msg yeyote kuwa imetoka ama MPesa imepokea, nikaona isiwe tabu nikaachana nayo kwakujua mitandao wenda inazingua.

Saizi niliposoma kwa jamaa hapa naemda kuangalia salio, ile 5000 ilitoka na MPesa haikuingia na salio ni pungufu. Naangalia mini-statement inasoma nilitoa elfu 5 kwenda Mpesa. Transaction zangu za Mpesa hazina hio kumbukumbu na wala Pesa haikuingia.

Tushavamiwa na na Janga huku Mpesa mastercard. Naona tutafute chimbo jipya

Dumelang
 
Duuuh... Wacha nirudi Equity mdogo mdogo.

SangaweJr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…