Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
- Thread starter
-
- #5,221
Hapo inamaanisha estimation time imefika ukingoni so Kama hujapata parcel yako ni juu yako kuendelea kusubiri wiki au mwezi mwingine au open dispute Kama mkwanja uliotoa ni wa maana.
Hiyo 4pX Singapore post OM pro tulishaiongelea huko nyuma ni Kama China post small packet plus unawatumia tu pale unapokuwa Huna presha au Huna uharaka wa kupokea mzigo hivi karibuni
Hilo group litakufa baada ya muda mfupi lakini thread itaendelea kuwepoGroup iko tayari kuweka link kwa hapa ndio mtihani siwezi nisaidie kunielekeza nisaidie na wengine.
Hilo group litakufa baada ya muda mfupi lakini thread itaendelea kuwepo
ndiyo kawaida ya ma group
Huyu mnyama nimemchukua kariakoo ila bei ndefu kidogo tofauti na kuagiza online
View attachment 1270338
TZS 190,617.89 | Global ROM Xiaomi Redmi 7A 7 A 2GB 16GB 5.45" HD Snapdargon 439 Octa core Mobile Phone 4000mAh Battery 13MP Camera SmartphoneWakuu nataka agiza simu(xiaomi) china isyozid 200k.nina ndugu anaendaga huko.
Naomba wazoefu wa simu hizi ni version ipi itanifaa.
CHIEF MKWAWA Mwl.RCT
Sent using Jamii Forums mobile app
TZS 190,617.89 | Global ROM Xiaomi Redmi 7A 7 A 2GB 16GB 5.45" HD Snapdargon 439 Octa core Mobile Phone 4000mAh Battery 13MP Camera Smartphone
-----------------------
TZS 274,683.62 | Global Rom Xiaomi Redmi 7 4GB RAM 64GB ROM Snapdragon 632 Octa Core 12MP Dual AI Camera Mobile Phone 4000mAh Large Battery
View attachment 1299170View attachment 1299172
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio iko njema ila Inategemea mahitaji yako mkuu
Ndio iko njema ila Inategemea mahitaji yako mkuu
Specifications zake ni hizo ila ukitaka yenye Internal 32GB inauzwa 205000 hizo ni bei za kuagiza mwenyewe bila makato
REDMI 7A
Qualcomm Snapdragon 439 processor
2 GB RAM
16 GB internal storage
4000 mAh battery
12MP rear & 5MP selfie cameras
5.45 inches inch screen
Dual, Nano-SIM (Hybrid Slot) SIM
Android v9.0 (Pie) OS
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ina global ROM itamsumbua tu...! Achukue Global version TZS 199,575.72 | Global Version Xiaomi Redmi 7A 7 A 2GB RAM 32GB ROM Mobile Phone 5.45" Snapdargon 439 Octa core 4000mAh Battery 12MP CameraNdio iko njema ila Inategemea mahitaji yako mkuu
Specifications zake ni hizo ila ukitaka yenye Internal 32GB inauzwa 205000 hizo ni bei za kuagiza mwenyewe bila makato
REDMI 7A
Qualcomm Snapdragon 439 processor
2 GB RAM
16 GB internal storage
4000 mAh battery
12MP rear & 5MP selfie cameras
5.45 inches inch screen
Dual, Nano-SIM (Hybrid Slot) SIM
Android v9.0 (Pie) OS
Sent using Jamii Forums mobile app