Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Global version nayo ni cheap tu plus shipping fee.. Haizidi 210k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina uhakika pengine kuna Mbongo anataka kutembelea Nyota tu si unajua kufungua page sio ngumu.

Mara ya mwisho ama wiki 2 hivi nilifanya mawasiliano na Xiaomi Global. (Kuhusu official business).

Walinijibu hawana official tawi wala distributor, wala dealer au seller Kwenye Region hii na hawana Mpango huo kwasasa pengine siku za Usoni.
Dumelang
 
Shukrani mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona kenya wanayo official page ya xiaomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…