Hata mimi nafahamu kama unavyofahamu wewe na zaidi ya hapo Kuna trick iliwekwa Humu ndani namna ya kuifanya hiyo Chinese version ifanye kama global version. Pengine Kuna maelezo ya ziada toka kwa mkuu kwa nini isumbueMi naamini Global ROM haina shida
update inapata kama kawaida
Sema utofauti ni kuwa hii global ROM ni chinese version ambayo wameinstall English
Jamaa kama kuna tatizo kuhusu global ROM anaweza kutujuza nasisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna yeyote humu ndani ashawai nunua bidhaa kutoka high life tanzania na yupo mkoani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina Xiamin note 9 ambayo ina 6GB+128GB.Kitu kipo vizuri sana
Wadau naombeni mnisaide,,,,
Jana nilipata update za taarifa hizo hapo chini ila cha ajabu nimempigia mtu wa posta huku nilipo ameniambia hajapokea mzigo wangu hadi sasa ivi,,,,
Nisaidieni kwa aliyewahi kukutana na changamoto kama hii.
AsanteniView attachment 1302427
Sent using Jamii Forums mobile app
Xiaomi note 9? Naomba picha yake mkuuNina Xiamin note 9 ambayo ina 6GB+128GB.Kitu kipo vizuri sana
Ha ha nilikua sijasoma Hii post yako, binafsi sijaona nami nimeomba picha yake.Mkuu sijawahi sikia wala kuona note 9 toka xiaomi, hebu rusha picha mzee nami niione
Au ilimaanisha mi 9?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wazinguaji mkuuMimi nimeshanunua kwa apa Dar ila kwa mkoani niliwauliza huwa wanakutumia ukihitaji delivery japo kuna additional costs kidogo utaongezea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Official page ya xiaomi unaitambuaje
Haina uhakika pengine kuna Mbongo anataka kutembelea Nyota tu si unajua kufungua page sio ngumu.
Mara ya mwisho ama wiki 2 hivi nilifanya mawasiliano na Xiaomi Global. (Kuhusu official business).
Walinijibu hawana official tawi wala distributor, wala dealer au seller Kwenye Region hii na hawana Mpango huo kwasasa pengine siku za Usoni.
Dumelang
Hakuna redmi 8 refurbished kwa sasa
Hakuna redmi 8 refurbished kwa sasa
Umeamua kuchangamsha Thread?Nina Xiamin note 9 ambayo ina 6GB+128GB.Kitu kipo vizuri sana
Siyo kutembelea nyota, ni makampuni yanaona opportunities na kuzifanyia kazi. Simu kuuzwa nchini na wakala wa usambazaji hamna ubaya wowote kwa sababu yeye anakua amepewa haki hizo na kampunj husika.
Hivyo siyo lazima simu za Xiaomi ziletwe na Xiaomi wenyewe.
Hata Oppo, Vivo, Huawei haziletwi na makampuni husika respectively, bali kuna distribution companies zinafanya hiyo kazi.
Au unadhani bidhaa yako ya LG let's say TV ikiharibika ukapeleka pale service center unadhani wale ni LG wenyewe kabisa kabisa? Ile company ni ya Mo Dewji ambae ndo super dealer wa LG Tanzania.
Watu tulikua tunalalamika kwamba Xiaomi hapo Kenya zipo za kutosha lkn bongo hazipo, ndo hivyo zimeanza kuletwa taratibu na FYI hata Kenya na UG ni agencies ndo zinasimamia mpango mzima, not Xiaomi corporation.
Kama zitauzwa kwa bei reasonable basi zitanunulika tu, uzuri bei za online pia zinajulikana so itakua easy kufanya uamuzi.
Tufurahi kwa sababu competition itakua kubwa sokoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi neno xiaomi inatamkwaje kwa kiswahili
Shiomi ,siomi ,[emoji44]duuh nashindwaga Hadi mate yananitoka
Sent using Jamii Forums mobile app