Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mi naamini Global ROM haina shida
update inapata kama kawaida
Sema utofauti ni kuwa hii global ROM ni chinese version ambayo wameinstall English

Jamaa kama kuna tatizo kuhusu global ROM anaweza kutujuza nasisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nafahamu kama unavyofahamu wewe na zaidi ya hapo Kuna trick iliwekwa Humu ndani namna ya kuifanya hiyo Chinese version ifanye kama global version. Pengine Kuna maelezo ya ziada toka kwa mkuu kwa nini isumbue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau naombeni mnisaide,,,,
Jana nilipata update za taarifa hizo hapo chini ila cha ajabu nimempigia mtu wa posta huku nilipo ameniambia hajapokea mzigo wangu hadi sasa ivi,,,,
Nisaidieni kwa aliyewahi kukutana na changamoto kama hii.
Asanteni
Screenshot_2019-12-23-20-29-07.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tracking inasoma mzigo umefika
Haikutakiwa upige simu, wewe nenda posta wakuchekie palepale, wakuambie mzigo uko wapi , maana tracking inasoma mzigo umefika final destination

Ukiona hakuna msaada nenda utawala ujue hatma ya mzigo wako
Wadau naombeni mnisaide,,,,
Jana nilipata update za taarifa hizo hapo chini ila cha ajabu nimempigia mtu wa posta huku nilipo ameniambia hajapokea mzigo wangu hadi sasa ivi,,,,
Nisaidieni kwa aliyewahi kukutana na changamoto kama hii.
AsanteniView attachment 1302427

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kutembelea nyota, ni makampuni yanaona opportunities na kuzifanyia kazi. Simu kuuzwa nchini na wakala wa usambazaji hamna ubaya wowote kwa sababu yeye anakua amepewa haki hizo na kampunj husika.

Hivyo siyo lazima simu za Xiaomi ziletwe na Xiaomi wenyewe.
Hata Oppo, Vivo, Huawei haziletwi na makampuni husika respectively, bali kuna distribution companies zinafanya hiyo kazi.

Au unadhani bidhaa yako ya LG let's say TV ikiharibika ukapeleka pale service center unadhani wale ni LG wenyewe kabisa kabisa? Ile company ni ya Mo Dewji ambae ndo super dealer wa LG Tanzania.

Watu tulikua tunalalamika kwamba Xiaomi hapo Kenya zipo za kutosha lkn bongo hazipo, ndo hivyo zimeanza kuletwa taratibu na FYI hata Kenya na UG ni agencies ndo zinasimamia mpango mzima, not Xiaomi corporation.

Kama zitauzwa kwa bei reasonable basi zitanunulika tu, uzuri bei za online pia zinajulikana so itakua easy kufanya uamuzi.

Tufurahi kwa sababu competition itakua kubwa sokoni.
Haina uhakika pengine kuna Mbongo anataka kutembelea Nyota tu si unajua kufungua page sio ngumu.

Mara ya mwisho ama wiki 2 hivi nilifanya mawasiliano na Xiaomi Global. (Kuhusu official business).

Walinijibu hawana official tawi wala distributor, wala dealer au seller Kwenye Region hii na hawana Mpango huo kwasasa pengine siku za Usoni.

Dumelang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry mdau. Hello.... Umeongea kitu cha LG TV Maintenance. Naomba msaada ofisi zao zipo wapi? Maana nina TV imezingua.

Back
Top Bottom