Inmefurah kutambua uwepo wa huu uzi kumbe watumiaji wa xiaomi ni wengi ...basi ntawaletea Mi dots na Mi band 4 kwa bei chee hope mtanisupport
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mchina kama maji, usimnywa utaoga tuAcheni kutumia takataka za kichina. Simu ni Samsung na iphone tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
I
Bei?
Hatimaye nimepokea mzigoJamaa hajibu,hata mm nimenunua hyo note 8 tar 6 nilituma sms mpaka leo kimya
Labda anawateja wengi
Halafu dxpected delivery ni siku 43 -60
Ukiruka kihunzi Cha TRA?Hatimaye nimepokea mzigo
Ni baada ya siku 25 tangu nilipie
Aina gani mkuu??Sijawai tumia cm yenye speed kubwa kama hii kwenye fingerprint! Yaani ukigusa tu imefunguka!
Betri natumia mpaka naenda kulala haijaisha! Tofauti kabisa na galaxy S 6+ niliokuwa natumia mwanzo"
Sent using Jamii Forums mobile app
Shipping na seller ni zipi?Hatimaye nimepokea mzigo
Ni baada ya siku 25 tangu nilipie
Nilisafiri mkuu ila niliandaa mazingira ya mzigo kupokelewa vizuri,,Mtu w posta aliniambia tayari ameshaupokea,,nasubiri nikirudi nikaanze nayo mwaka vizuuuurii,,,
Mid range gani ya samsung Ina infra red?, gorilla 5, glass back?Acheni kutumia takataka. Nunua simu ya Maana. Samsung wanazo midrage nzuri za bei itakayowafaa kama hamuwezi kuafford flagship phones [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisafiri mkuu ila niliandaa mazingira ya mzigo kupokelewa vizuri,,Mtu w posta aliniambia tayari ameshaupokea,,nasubiri nikirudi nikaanze nayo mwaka vizuuuurii,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Seller ni fantacy technology
Nimelipa 5500 ya posta basiUkiruka kihunzi Cha TRA?
wakuu nimeuliza swali amjanijbu nataka agiza refmi note 8 je seller gani yuko vizuri ana sheap faster na anaushirikiano
Sent from my iPhone using JamiiForums