Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

wakuu kwema seller gani anafatia ushurikiano kujibu na anatuma mzigo haraka nataka agiza leo redmi note 8 pro


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamaa hajibu,hata mm nimenunua hyo note 8 tar 6 nilituma sms mpaka leo kimya
Labda anawateja wengi
Halafu dxpected delivery ni siku 43 -60
Hatimaye nimepokea mzigo
Ni baada ya siku 25 tangu nilipie
 

Attachments

  • IMG_20191231_202752.jpg
    IMG_20191231_202752.jpg
    92.4 KB · Views: 2
  • IMG_20191231_201845.jpg
    IMG_20191231_201845.jpg
    130.1 KB · Views: 1
Sijawai tumia cm yenye speed kubwa kama hii kwenye fingerprint! Yaani ukigusa tu imefunguka!
Betri natumia mpaka naenda kulala haijaisha! Tofauti kabisa na galaxy S 6+ niliokuwa natumia mwanzo"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom