Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu vpi mzigo wako ushakuwa cleared? Maana naona na mimi imenipa the same status. What is the way forward?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aina ya Simu yangu ni Xiaomi Redmi7,
Ina miezi miwili na nusu tu tangu niinunue.

Mwanzo haikuwa na tatizo Ila jioni hii ya leo simu yangu imestack system ya chaji haifanyi kazi Tena hata Kama nikichomeka chaja haionyeshi inapeleka ama haipeleki.

Muda huu nipo mtaani naangalia mpira lakini simu Upande wa charger icon kunaonekana %0 na inaonyesha Kama simu inapeleka yaani Kuna alama ikionyesha chaji inaingia. Maajabu haya.

Licha ya kuonekana 0% lakini simu haijazima na inafanya kazi Kama kawaida.

Nimeireboot lakini wapi, nikaizima kisha nikawasha Lakini wapi.

Naombeni msaada wenu nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda Reset simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumia redmi note 8
Hizi simu nadhani hazikubali screen mirroring kwa kutumia application
Ina option ya "cast" lakini haiko vizuri ina scratch
Mpaka naikumbuka galaxy s6 yangu nilikuwa nacheki mechi bila chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…