pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Nimeshaweka gcamSingapore hawajawah kufel..hongera mkuu..sasa hapo malizia na Gcam [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko vizuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaweka gcamSingapore hawajawah kufel..hongera mkuu..sasa hapo malizia na Gcam [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umo ndani kwa group kule hebu kanitext please[emoji2][emoji2] mkuu relax...mchek admin akurudishe..kwel walikutoa bila sababu ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umo ndani kwa group kule hebu kanitext please
Sio kwamba kuna jamaa ali msuspect mshikaj kama ni raia wa TRa ndiomana akatolewa? Kisa tu hajachat mda mref
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vpi mzigo wako ushakuwa cleared? Maana naona na mimi imenipa the same status. What is the way forward?Wakuu status ya mzigo wangu inaonyesha umezuiwa na Watu wa TRA ,uliingia toka 24/12/2019, Jana ndio update ikaonyesha" Held by customs" . Je watanijulisha kiasi cha kodi au mpaka nifuatilie? Na km kufuatilia nafuatilia posta au TRA? Plse wanaofahamu utaratibu
Mkuu vpi mzigo wako ushakuwa cleared? Maana naona na mimi imenipa the same status. What is the way forward? View attachment 1310161
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haujawa declared na watu wa customsMkuu vpi mzigo wako ushakuwa cleared? Maana naona na mimi imenipa the same status. What is the way forward? View attachment 1310161
Sent using Jamii Forums mobile app
Polee sana na Hongeraa piaa umeipata kwa machungu mengi...Hatimaye nimepokea K20 yangu Naomba nitoe shukrani zangu kwa Mr. Mobile mkuu umenipigania hadi hatua ya mwisho Mungu Akupe heri nyingi ktk Maisha yako [emoji1431]View attachment 1310294View attachment 1310295
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatimaye nimepokea K20 yangu Naomba nitoe shukrani zangu kwa Mr. Mobile mkuu umenipigania hadi hatua ya mwisho Mungu Akupe heri nyingi ktk Maisha yako [emoji1431]View attachment 1310294View attachment 1310295
Sent using Jamii Forums mobile app
Amiin. Furahia kifaa chako.Hatimaye nimepokea K20 yangu Naomba nitoe shukrani zangu kwa Mr. Mobile mkuu umenipigania hadi hatua ya mwisho Mungu Akupe heri nyingi ktk Maisha yako [emoji1431]View attachment 1310294View attachment 1310295
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2] mkuu relax...mchek admin akurudishe..kwel walikutoa bila sababu ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahah ni kikundi cha wachache kileGroup limekaa kiboya Sana!!
Wamenichomoa mule bila ya sababu za msingi
Baki humu tuu
Aina ya Simu yangu ni Xiaomi Redmi7,
Ina miezi miwili na nusu tu tangu niinunue.
Mwanzo haikuwa na tatizo Ila jioni hii ya leo simu yangu imestack system ya chaji haifanyi kazi Tena hata Kama nikichomeka chaja haionyeshi inapeleka ama haipeleki.
Muda huu nipo mtaani naangalia mpira lakini simu Upande wa charger icon kunaonekana %0 na inaonyesha Kama simu inapeleka yaani Kuna alama ikionyesha chaji inaingia. Maajabu haya.
Licha ya kuonekana 0% lakini simu haijazima na inafanya kazi Kama kawaida.
Nimeireboot lakini wapi, nikaizima kisha nikawasha Lakini wapi.
Naombeni msaada wenu nifanyeje? View attachment 1312359View attachment 1312360
Sent using Jamii Forums mobile app