The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Hiyo hela ni ndogo ila ni nyingi kwa mtizamo mwingnKati ya laki 4.5 Hadi 5.5
Asante nimepata simu yangu kwa njia ya posta bila kutozwa kodi yoyote isipokua nimelipia 1500/= hata sijui ya nini [emoji16]
Utakuwa malipo ya uchakavu pale postaAsante nimepata simu yangu kwa njia ya posta bila kutozwa kodi yoyote isipokua nimelipia 1500/= hata sijui ya nini 😁
Hivi kwanini xiaomi Mi A3 inaonekana inabei kubwa kuliko Xiaomi redmi note 7? Naomba mnaotumia hizi simu mnipe tofauti nataka nifanye maamuzi katika hizi mbili
Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
Asante nimepata simu yangu kwa njia ya posta bila kutozwa kodi yoyote isipokua nimelipia 1500/= hata sijui ya nini [emoji16]
Fanya kunipa link mkuu...Haya mkuu hongera...weka gcam mapema kabla simu haijapoa [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari kaka shukran nyingi apewe muanzisha hii thread 😁
Hatimae Jana nikakamata mashine yangu bila longo longo,
Shukrani zangu ziende kwa muanzisha uzi pamoja na maoni ya wadau wote.View attachment 1315241
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante tuma ya bia moja hapa au ya vocha 0717135641Hatari kaka shukran nyingi apewe muanzisha hii thread 😁
[emoji16][emoji16][emoji16]wakuu ii status inamanisha mzigo umefika dar tayari au View attachment 1316952
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16][emoji16][emoji16]
Bado mkuu...mzigo ndio umeruhusiwa kutoka China huo. Tarehe 6 hadi 9 January mzigo uwe umefika hesabu week mbili mbele, kama upo mkoani au wilayani ongeza tena week 1 ziwe 3.
Hadi uone Arrived at Destination Country
Hapa ume waonesha jamaa tracking number na aina ya mzigo. Ukifika tu lazima wale kichwa. Kuna fununu jamaa wa TRA wamo humu wanakusanya taarifa tu.
SangaweJr