Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hivi kwanini xiaomi Mi A3 inaonekana inabei kubwa kuliko Xiaomi redmi note 7? Naomba mnaotumia hizi simu mnipe tofauti nataka nifanye maamuzi katika hizi mbili

Sent from SM-G950F using Jamii Forums mobile app
 
Asante nimepata simu yangu kwa njia ya posta bila kutozwa kodi yoyote isipokua nimelipia 1500/= hata sijui ya nini 😁
 
Attachments

  • Screenshot_2020-01-07-13-56-32-021_com.android.settings.jpg
    Screenshot_2020-01-07-13-56-32-021_com.android.settings.jpg
    53.4 KB · Views: 3
  • IMG_20200107_140819.jpg
    IMG_20200107_140819.jpg
    84.2 KB · Views: 2
wakuu ii status inamanisha mzigo umefika dar tayari au View attachment 1316952

Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16][emoji16][emoji16]

Bado mkuu...mzigo ndio umeruhusiwa kutoka China huo. Tarehe 6 hadi 9 January mzigo uwe umefika hesabu week mbili mbele, kama upo mkoani au wilayani ongeza tena week 1 ziwe 3.
Hadi uone Arrived at Destination Country

Hapa ume waonesha jamaa tracking number na aina ya mzigo. Ukifika tu lazima wale kichwa. Kuna fununu jamaa wa TRA wamo humu wanakusanya taarifa tu.
SangaweJr
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16]

Bado mkuu...mzigo ndio umeruhusiwa kutoka China huo. Tarehe 6 hadi 9 January mzigo uwe umefika hesabu week mbili mbele, kama upo mkoani au wilayani ongeza tena week 1 ziwe 3.
Hadi uone Arrived at Destination Country

Hapa ume waonesha jamaa tracking number na aina ya mzigo. Ukifika tu lazima wale kichwa. Kuna fununu jamaa wa TRA wamo humu wanakusanya taarifa tu.
SangaweJr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom