skate-board
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 490
- 577
[emoji16][emoji16][emoji16]
Bado mkuu...mzigo ndio umeruhusiwa kutoka China huo. Tarehe 6 hadi 9 January mzigo uwe umefika hesabu week mbili mbele, kama upo mkoani au wilayani ongeza tena week 1 ziwe 3.
Hadi uone Arrived at Destination Country
Hapa ume waonesha jamaa tracking number na aina ya mzigo. Ukifika tu lazima wale kichwa. Kuna fununu jamaa wa TRA wamo humu wanakusanya taarifa tu.
SangaweJr
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
mm pia nina status kama iyo mzigo unakuwa ushatoka china auView attachment 1317007
ikiwa na status ii pia inakuwa imerusiwa kutoka china ipo njian au
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakuu nashukuru nilipata mzigo wangu na kwa bahati nzuri sikukatwa kodi isipokuwa nilitozwa gharama za posta kiasi cha tsh 2350,asanteni sana kwa ushauri ambao nadhani next time nitafanya mazungumzo na seller kabla ya kununua mzigo ili nijue invoice itakavyokuwa baada ya kununua mzigoWakuu status ya mzigo wangu inaonyesha umezuiwa na Watu wa TRA ,uliingia toka 24/12/2019, Jana ndio update ikaonyesha" Held by customs" . Je watanijulisha kiasi cha kodi au mpaka nifuatilie? Na km kufuatilia nafuatilia posta au TRA? Plse wanaofahamu utaratibu
Andaa mia mbili kama na thelathini elfu, kununua, shipping fees +makato ya mpesa mastercard ila ni kwa GB 32 AE.
Nipo daah ratiba ziliingiliana...Nakuonaaa mkuu
Mi 5Nauza Mi5 storage 64gb ram 3gb bei 300k kwa anaehitaji anichek 0714192765View attachment 1318838View attachment 1318840
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi tulitegemea itakuwa na mapya mengi lakini, imekuwa tofauti wameongeza features chache sana zaidi kilichofanyika humo ni customization.
Wengi tulitegemea itakuwa na mapya mengi lakini, imekuwa tofauti wameongeza features chache sana zaidi kilichofanyika humo ni customization.
Tarehe 6 decemba nimejitosa tena kununua simu aliexpress
Nimenunua redmi note 8 kwa 394K hyo ni pamoja na shipping elf 25 na makato ya mpesa kama elf 15
Hakuna namna ya kuwakwepa mkuu. Lipa kodi kwa maendeleo ya nchi.
Jamaa hajibu,hata mm nimenunua hyo note 8 tar 6 nilituma sms mpaka leo kimya
Labda anawateja wengi
Halafu dxpected delivery ni siku 43 -60