Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Asante mkuu kwa maelezo mazuri sana,kuna zengine uwa naona zinauzwa hadi elfu 30,sasa zina utofauti gani na izo za malaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa maelezo mazuri sana,kuna zengine uwa naona zinauzwa hadi elfu 30,sasa zina utofauti gani na izo za malaki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Zinatofautiana sound quality,! Expensive Tws mara nyingi (japo sio zote) zinakuwa na detailed sound signature, yaan base unasikia, treble unajisikia, na midi unasikia pia, hizi za bei ya chini mara nyingi utapata base na treble, midi haisikiki Sana au unakuta haipo kabisa,
Hata hzi tunazoziongelea hapa zinasaidia tu ila soundwise huwezi kusema zipo top, niliwahi kuomba kusiliza shure 846 tws, duty free shop flan, sound quality ilikuwa nzuri Sana, ila bei baba!! Dola 700,!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Qcy QS2
Qcy T3
Qcy T5
H&A F9
Haylou GT1. Zipo kwa bei ya January kabisa. Nicheck 0763976109
 
Na waelewe Kodi ni 21%, wakiagiza waweke fungu la kodi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi wewe kama umeamua kufanya hii ishu fanya lakini mengi tulisha ambiana kikubwa ya jenge huko na muuzaji wako. Bidhaa ikifika jamaa wakakubana tafuta namna ya ku pambana maana kiuhalisia jamaa wapo sahihi lazima ulipe kodi.
 
Point ya msingi sana hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nini mkuu imefika hatua jamaa sasa hv hawaangaliii huu unatakiwa kulipiwa kodi, au hautakiwi kulipiwa kodi wengine maeneo tulipo jamaa wanakusanya yote.

Mimi walisha wahi zuia mzigo wangu wa $2. Kiuhalisia ilikuwa dola mbili $2.
Namshukuru mama wa posta alifuatilia hii ishu nikapewa mzigo wangu maana haukuwa na vigezo vya kulipiwa kodi.

Hapo unaweza kuona how serious they are...
 
Ifike hatua hii hoja tuachane nayo wadau. Ndio inapelekea kubanwa zaidi. Tuna jikaanga wenyewe hapa.

Kwa mujibu wa sheria kulipa kodi ni lazima.
Kujua kama mtu kalipa au hajalipa ndipo tunapo wekana rehani hapa.

mambo ya kodi acha2, itafikia mahali kuagiza vitu atakuwa muhimu kabisa maan gharama ya kupata apa nchini na kuagiza zitakuwa sawa kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mambo ya kodi acha2, itafikia mahali kuagiza vitu atakuwa muhimu kabisa maan gharama ya kupata apa nchini na kuagiza zitakuwa sawa kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni kweli, ila uzuri wa kuagiza bado utabaki pale pale! unapata kitu unacho kipenda kabisa! Mdau na note 8 pro yake nimeona kama anaringishia mie vile! penda Sana simu hiyo ila kwa dar najua sitaipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Redmi 7

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tena xiaomi mna shida

mnataka kufananisha visimu vyenu na Baba lao

Baba wa Misimu Samsung


wakati nyinyi oppo tu wanawatoa jasho sio mchezo

njoo kwa pixel za google wanawatoa machozi

ukija kwa one plus ndio kufa nje nje


Sasa babalao hao wote wanamuogopa

Msalimieni bibi yenu iphone mwambie yeye ni mkali ila sio kama moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka attention za watu but I'm telling you, nobody's got time for that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nitajie mid ranges zenye features nyingi, na kwa bei nafuu kushinda xiaomi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…