mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 944
Asante mkuu kwa maelezo mazuri sana,kuna zengine uwa naona zinauzwa hadi elfu 30,sasa zina utofauti gani na izo za malaki?Inategemea na brand, pamoja na volume utakayotumia kusikilizia music, haylou gt1 nimeona masaa manne ila tronsmart masaa 5
Ila uzuri vinakuja na charging case ambayo Inaeza ikazichaji hata mara 3,
So ni kama full charge utasikiliza masaa a manne, ziliisha chaji unarudisha kwenye box dk 20 zinakuwa full, unasikilizi Tena masaa manne, zikiisha unarudisha Tena kwa box dk20 tena , hapo box inakuwa inahitaji kuchajiwa nayo,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app