Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wamama wengine bana ...kwaiyo lile jukwaaa la mapishii limekushindaaa umeamua kuja huku Hakuna mtu mwenye time na wewe , i can seee upo kwennye siku zako za bld ndo maaana unataka ubishan kama ule na wamama wenzio ...humu tupo wanaumeeee aseee. Sema kama huna pesa za pedi tukupe.... Aseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huku nani kakuleta......???. Huku tupo wadau tunaotumia simu pendwa. Ushauri tu katafute matajiri wenzio wa Samsung......
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliagiza Mi TV Box S, inaonekana mzigo umefika since tar 17 Jan ila jana nimeenda posta wananiambia ni kweli mzigo umeshafika lakini bado haujapewa local number hivyo sikupewa.
Hapa navuta kama siku mbili niende tena maana naona ni ubabaishaji kiaina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa mpolee watakuita wenyewe, naona una kimuhe muhe kweli...
 
Unataka attention za watu but I'm telling you, nobody's got time for that.

Sent using Jamii Forums mobile app


Huyo jamaa nadhani kapotea njia,kupitia jukwaa hili namiliki simu nzuri ambayo sikudhania mwanzo,hizo Samsung anazosema nimecheza nazo sana na nimeziacha,kwa sasa ninayotumia ni Xiaomi mi 9se 6gb Ram na 128gb Rom,toka mwaka jana mwezi wa saba ninayo sijawahi kujutia kua nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…