Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Price nnazo soma huku na alibaba naona ni tofaut
Screenshot_20200124-001050.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajanja wameniibia Redmi note 8 Yangu ambayo hata haijamaliza wiki tatu toka niinunue..Nimetoa taarifa polisi na kuwapa IMEI za simu sijui wataweza kumpata mwizi??....
 
Wajanja wameniibia Redmi note 8 Yangu ambayo hata haijamaliza wiki tatu toka niinunue..Nimetoa taarifa polisi na kuwapa IMEI za simu sijui wataweza kumpata mwizi??....
Mkuu pole sanaaa aiseee...

Ulifungua Mi account ujaribu ku access kwa mi account?
 
Mmmnhuuu, account ilikuwa active kweli. Maana kwa muda mfupi hivi ningumu kusema jamaa wameshaichomoa hiyo account
Sina hakika kama ilikua active ila nilikua naweza kuingia nayo kwenye mi community bila shida...Polisi wanadai haijawashwa toka iibiwe
 
Back
Top Bottom