Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nataka kuingia ulimwengu wa xiaomi budget yang ni 400k pendekezo nichukue MI a3 wakuu suggestions please
 
Nataka kuingia ulimwengu wa xiaomi budget yang ni 400k pendekezo nichukue MI a3 wakuu suggestions please
.Hutapata radha ya miui kwa kina kwani hio ni Android one. Chukua simu nyingine ili upate vionjo vya xiaomi na features zake kama dual apps, second space na zingine.
 
Na ili kuhakikisha my stuffs ni mnyoooko mchek huyoo jamaa nimemuuzia redm 7 juzi.... satisfyd
Screenshot_2020-01-29-13-49-56-070_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo sio matusi .... Ile nimekukanyaaa usione kila mtu humu ukamuona ni mtoto mwenzio ..mweshimu mtu ushimike .
Thats it .
Tunaongeza views wa uzi tu ila nilitaka nimpe mteja tu, asante mzee baba ukonjema ila uzuri umo ndni humu na unatumia xiaomi nasikia raha tu hata ukitukana. Mkojo wa Ngedere aka mdogo wake kangi lugolaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom