Inauzwa bei gani?na wapi?Xiaomi note 10 ndio habari ya mjini.
Wadau hiv virus vya Corona, hatuwez kuvikuta kwa kugusa mizigo tunayoagiza kutoka alliexpress?
Sent using Jamii Forums mobile app
1M+Inauzwa bei gani?na wapi?
Hakuna simu inayoitwa XIOMI MI NOTE 10Kuna mkubwa wake..Xiaomi mi note 10 Pro na ipp launched tangu november!
Kuna mmoja yuko njiani anakuja na ni Xiaomi Mi 10 Pro, ni moto hatari!
Hii simu nimeshindwa kutambua Model yake , ila naona ni kampuni ya Xiaomi ... Naombeni mwenye kuifahamu anijuze , na kama naweza pata Betri lake anijuze please na kama naweza ipata online wakuniagizia anijuze maana kuna mtu kaileta anataka ifanyiwe matengenezo ya betri kwanza na mengine yatafuata. Namba yangu hij ya VODACOM 0758502213 au nicheki PM .. View attachment 1354205View attachment 1354206View attachment 1354207View attachment 1354208View attachment 1354209View attachment 1354210View attachment 1354211
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁Kwa wenye hela zenu mie hio ni pesa ya mifuko mia ya simenti kwa dangote na usafiri bure.
Xiaomi Mi 6
Storage 64gb
Ram 6gb
12mp dual camera
Dual sim
Mint condition
450k
Contacts: 0714192765View attachment 1349946View attachment 1349947View attachment 1349948View attachment 1349949View attachment 1349950View attachment 1349951View attachment 1349952
Sent using Jamii Forums mobile app
Haijakupendeza mkuu?Nina Redmi note 6 pro
GB 64
Ram 4
Nimeitumia wiki mbili
Nataka 300k
Nakupa na vifaa vyake
Sent using Jamii Forums mobile app
Xiaomi Mi 6
Storage 64gb
Ram 6gb
12mp dual camera
Dual sim
Mint condition
350K
Contacts: 0714192765View attachment 1355354View attachment 1355355View attachment 1355356View attachment 1355357
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo PM tuyajenge kaka0717135641 whatssap onlyNauza redmi 8 sapphire blue 64 GB brand new
Phone4Sale - Redmi 8 Duos 64 GB/4GB Global Version
Nauza Redmi 8 Sapphire Blue. Brand New Sealed and straight From Xiaomi Global Version (Ina full google apps pamoja na google playstore + ni multilanguage) ROM ni 64GB RAM 4GB Line mbili na inasupport 4G mitandao yote Bongo Battrey kubwa 5000 Mah (It can last two days with heavy usage) Ndani ya...www.jamiiforums.com
Fresh nimekucheki whatsapp kakaNjoo PM tuyajenge kaka0717135641 whatssap only
Vipi kuhusu vivo phonekuna bizaa hapa kiafrika azija shika makert kutona soko lake kubwa lipo njee kwa grade ya juu mfano meizu,one plus,honnor,xiomi n.k ingia gsm arena ndio utajua hivi vikampuni itel na techno vilikuja hapa afrika kutafuta mtaji mpaka vilipo tupa vitu vibovu leo ndo wana toa simu.lakini hazitambuliki
We kweli ni koronkwincho!
Xiaomi sio xiomiWe kweli ni koronkwincho!
Hii ni nini?View attachment 1355790
Na hi ni nn?
View attachment 1355791
Na bado Xiaomi mi 10 na Xiaomi mi 10 pro!