Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kumbe natumia moja ya sim Bora kabisa.
MI MAX 2
4Gb Ram
64 Gb Room
2019-03-01
Mbichi kabisa ina mwaka mmoja tu.
Nilishatumia
OnePlus 6Gb Ram
................64G Room
Haikuwa Bora kama hii MI
Ambayo ina Play Store kabisa.
Asanteni kwa taarifa na siiuzi
Ng'o.
Chaji haiishagi ovyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu niambieni bado mizigo inatoka china? Au tusubr korona iishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…