mwanyumba2020
Member
- Jul 2, 2018
- 61
- 35
Ivi note 8 na note 8t zinatofautiana kipi mbona naona kma bei zinafana..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi note 8 na note 8t zinatofautiana kipi mbona naona kma bei zinafana..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba seller mzuri wa alixpress mkuuChukua Note 8T Mkuu
Kwa sasa hivi sijajua kama mizigo imerejea kutumwa kutoka China mkuu ngoja wadau wengine waje watusaidie na hili.Naomba seller mzuri wa alixpress mkuu
Kutoka wapi bro, na kama uliagiza, uliagiza tarehe ngapi?Got mine two days ago
kariakoo china plaza mkuu zipo kama zote tuKutoka wapi bro, na kama uliagiza, uliagiza tarehe ngapi?
Unatatizo katika uelewa wa hizo update, katika picha yako haipo update inayo onesha mzigo umefika bongo.Wakuu ,kwenye ku track percel inaonyesha imeingia bongo tangia tarehe 17 ,tangia hapo hadi leo hii bado inaonyesha ipo Import custom...hivi hao jamaa wana shida ganiView attachment 1368655
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi.Got mine two days ago
Bei?kariakoo china plaza mkuu zipo kama zote tu
570kSafi.
Uliagiza lini mkuu.
Na imetumia cost gani
Bei?
Ram ngapi na internal storage ni ngapi??...Kariakoo pande zip ulipochukulia hii mashine?570k
Ram ngapi na internal storage ni ngapi??...Kariakoo pande zip ulipochukulia hii mashine?
Are you sure hiyo ni global version mkuu?Nauza redmi note 7 64GB/6 GB
View attachment 1378153]
View attachment 1378154
Plot4Sale - Redmi Note 7 Duos 6GB RAM / 64GB Global Version