Hawawezi kuacha ku export kwa sababu ya corona kwa sababu huo ni ugonjwa na haijulikani utaisha liniNimeuliza bado china wanaship mizigo nje?
Kama wana ship kwa speed ileile au imepungua? (Due to corona)
Kuna vitu nimeagiza kikuu havitoki ni mwezi sasa.Hawawezi kuacha ku export kwa sababu ya corona kwa sababu huo ni ugonjwa na haijulikani utaisha lini
Kwa update ya sasa hii njia ni kupoteza muda.Wadau wenzangu wa Fonts za Samsung kwenye simu zetu za Xiaomi.
Nimeokota hayo hapo madini mengine.
No. 206 Chococooky
No. 214 Cooljazz
Tuendelee kushirikishana madini mapya.View attachment 1282172View attachment 1282173
Kwa update ya sasa hii njia ni kupoteza muda.
Simu yako set Region India kisha nenda option (feature) ya Font utakuta Fonts za kila aina zimeongezwa ikiwemo na font pendwa ya Rosemary.
SangaweJr
Hii ni note 7 proniuzie hiyo note7
Sent using galaxy s10+
Note 7 proIna ukubwa gani hio simu (storage) . Njoo pm tuyajenge.
Si akutumie kwa kadi uliyoitumia kununulia bidhaa, auWadau seller anahitaji kunirefund pesa sasa ameniuliza anitumie kwa njia gani?
Naombeni kwa anayejua anitajie njia rahisi ya kupokea pesa kutokea China.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda setting pale kwenye search andika Region utaiona. I select thenHii kitu inafanyikaje.......???? Yangu inanigomea kwenye kuset Fonts.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda setting pale kwenye search andika Region utaiona. I select then
1. Weka Region India badala ya Tanzania
2. Nenda app ya Themes kipengele cha Font
3. Utakuta font za kutosha. Chagua uipendayo kisha Download kisha Apply.
SangaweJr
Ila zimeanza kuletwa nchini sasa hivi huwa nasikia matangazo, ila kiukweli hizo mchina amezitengenezaKwani Corona si ipo jimbo Moja tu kwingine biashara inaendelea kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wengine tusubiri
Napitia hapa XIAOMI NOTE 8 PRO naona ana MTK HELIO hii ikoje?
Sio zile za akina Tecno?
cc chief mkwawa
Cc kilangi masanja
Kwann mkuu?Hio Usiguse mkuu
Chukua Note 8T MkuuKwann mkuu?
Achana na hii takataka!Napitia hapa XIAOMI NOTE 8 PRO naona ana MTK HELIO hii ikoje?
Sio zile za akina Tecno?
Kilangi masanja
Chief-Mkwawa
Mtk wadau wengi hawashauri kuitumia, developer wengi wanazitelekeza sana kwenye update na P ia zina wahi kuzingua tutumie Tu snapdragonNapitia hapa XIAOMI NOTE 8 PRO naona ana MTK HELIO hii ikoje?
Sio zile za akina Tecno?
Kilangi masanja
Chief-Mkwawa