Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
- Thread starter
-
- #5,641
Kiongozi ni global rom hio huioni boksiAre you sure hiyo ni global version mkuu?
Yeye anasema global version ndio maana nimemuuliza.Kiongozi ni global rom hio huioni boksi
Nimerekebisha bro, nilijua ni kitu kimoja, so tofauti ni boksi tu?Are you sure hiyo ni global version mkuu?
Hapo sawa but remember Global Rom kwenye soko huwa hazina bei. Kama zilivyo global version.Nimerekebisha bro, nilijua ni kitu kimoja, so tofauti ni boksi tu?
Noo , tofauti ni kubwaNimerekebisha bro, nilijua ni kitu kimoja, so tofauti ni boksi tu?
NI zipi na zipi kaka,, ingekuwa poa ungafafanua zaidi ili pia wengine waweze kupata ujuzi, kama mimi nilikuwa najua ni kitu kimojaNoo , tofauti ni kubwa
Itabidi nasisi tuanzishe uzi wetu aise
Hio device inaonekana ni nzuri ila kwa maisha ya kibongo mie bei siiwezItabidi nasisi tuanzishe uzi wetu aise
Ikoje hio kiongozi, fafanua plz
Ni app ya google yenye uwezo wa kusoma maandishi au picha ya katika lugha yoyote usiyo ielewa.Ikoje hio kiongozi, fafanua plz
Google pixel 4xl ni nzuri...