uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,214
- 783
Yeah yangu ilikuwa na 6.0 ikaupdadate mpaka 7.0. Nougathizi simu zinapata updates kama zingine
Mzee kuna faida gani ya kuupgradeNime-upgrade from xiaomi Redmi note 3 to Redmi note 4, Wachina noma.
Kuna faida gani ya kuupgrade Nina samsung note 4Yeah yangu ilikuwa na 6.0 ikaupdadate mpaka 7.0. Nougat
mkuu ninashida na battery ya xiaomi mi note lte na model ya battery ni BM21, msaada wako tafadhari 0654444064huwa apps za google zinaendana na version unayotumia, hata unapoeka custom rom huwezi ukainstall google apps yoyote ile inabidi ueke husika ya version yako. mfano una rom lolipop huwezi install google apps za kitkat utegemee zifanye kazi, zitaload siku nzima.
hapo fanya hivi.
1. install google apps kupitia hio installer, hakikisha app zote zimeingia.
2. by default xiaomi inablock kudownload vitu na mobile data, hivyo hakikisha kila app unairuhusu idownload usibakishe viporo, au ili kuwa salama zaidi tumia wifi ukirun hio google installer.
3. zikimaliza kuingia apps zote fungua store, ikiwa inaload tu download manuall playstore na play service ureplace hizo.
4. zikiingia hizo app tumia ku update apps nyengine za google ulizoeka mwanzo, kwenye playstore ingia my apps cheki updates, zi update zote.
enjoy simu yako
HATIMAYE JANA PIA NIMEPATA UPDATE YA MIUI9 stable kwa xiaomi yangu ambayo ni.chinese version ila kuna tatizo kubwa naona simu kama ina kata chaji fasta sana naomba msaada wa kufanya n minimize matumizi ulaji wa chajimk
mkuu ninashida na battery ya xiaomi mi note lte na model ya battery ni BM21, msaada wako tafadhari 0654444064
msaada labda unatakiwa usubirie watakapotoa version ingne zaid ambayo itakua optimized kutunza chaj vzurHATIMAYE JANA PIA NIMEPATA UPDATE YA MIUI9 stable kwa xiaomi yangu ambayo ni.chinese version ila kuna tatizo kubwa naona simu kama ina kata chaji fasta sana naomba msaada wa kufanya n minimize matumizi ulaji wa chaji
coz tatizo limeanza baada ya ku update kwenda MIUI 9, so itakua ni Software yenyewe ndo yenye kuitaji optimizationHATIMAYE JANA PIA NIMEPATA UPDATE YA MIUI9 stable kwa xiaomi yangu ambayo ni.chinese version ila kuna tatizo kubwa naona simu kama ina kata chaji fasta sana naomba msaada wa kufanya n minimize matumizi ulaji wa chaji
Wabeba power bankNimetumia aina zote za simu ila believe me iphone na xiaomi ni gumzo!!! Sema iphone haina uhuru wa kufanya mambo mengi kama android ila xiaomi ni best kwangu mimi we endelea tu na tu na unachokiamini ni bora au na wewe ni chizi mabrandy kwamba ukisikia tu sony sijui lg sijui nn unaamini ndio basi
uzi ni wa xiaomi devices, we unakuja na tecno inahusika wap umuTecno p701 hatari sanaaa
Dogo yuko CHina anakamua ngoja Likizo nimwambie aje nayo mojaHapa dar mtihani huwezi pata ukipata ujue mtu katoka nayo majuu
Mkuu sio wewe peke yako nimeona kwa forum ya xiaomi watu wanalalamika pia, hopefully next update watarekebisha.HATIMAYE JANA PIA NIMEPATA UPDATE YA MIUI9 stable kwa xiaomi yangu ambayo ni.chinese version ila kuna tatizo kubwa naona simu kama ina kata chaji fasta sana naomba msaada wa kufanya n minimize matumizi ulaji wa chaji
ni kweli yaani kitu kinakata chaji balaaa yaani usiombe kabisaMkuu sio wewe peke yako nimeona kwa forum ya xiaomi watu wanalalamika pia, hopefully next update watarekebisha.
CHIEF MKWAWAVipi kuna simu inaitwa Ouktel @ Mwl RCT kwamba inauwezo wa kutunza chaji km kuchaji mara 4 kwa mwezi
Naomba afafanue zaidi na je, kuna amewahi kuitumia?