Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

I'm selling my xiaomi
‌Xiaomi Redmi 3x
‌32Gb ROM x 2Gb RAM
‌13 Mgpxl rear camera x 5Mgpxl Font Camera
‌5 inch display
‌4000mAh battery
‌Remote Sensor {TV, AC, etc}
‌Fingerprint Sensor
‌Android 6 Marshmallow
‌MIUI 8.5 MALMIDL {Global Stable ROM}
‌4G LTE, 3G,2G
‌Wifi, Bluetooth 4, Single handed mode,
‌Duo SIM card {Micro + Nano SIm cards, For the Nano SIM card slot you can opt to mount a tf card (memory card)}
‌Gold
‌clean condition

*Price* 290k...
 
Nime-upgrade from xiaomi Redmi note 3 to Redmi note 4, Wachina noma.
 
mk
huwa apps za google zinaendana na version unayotumia, hata unapoeka custom rom huwezi ukainstall google apps yoyote ile inabidi ueke husika ya version yako. mfano una rom lolipop huwezi install google apps za kitkat utegemee zifanye kazi, zitaload siku nzima.

hapo fanya hivi.
1. install google apps kupitia hio installer, hakikisha app zote zimeingia.
2. by default xiaomi inablock kudownload vitu na mobile data, hivyo hakikisha kila app unairuhusu idownload usibakishe viporo, au ili kuwa salama zaidi tumia wifi ukirun hio google installer.
3. zikimaliza kuingia apps zote fungua store, ikiwa inaload tu download manuall playstore na play service ureplace hizo.
4. zikiingia hizo app tumia ku update apps nyengine za google ulizoeka mwanzo, kwenye playstore ingia my apps cheki updates, zi update zote.

enjoy simu yako
mkuu ninashida na battery ya xiaomi mi note lte na model ya battery ni BM21, msaada wako tafadhari 0654444064
 
Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    2.9 KB · Views: 78
mk

mkuu ninashida na battery ya xiaomi mi note lte na model ya battery ni BM21, msaada wako tafadhari 0654444064
HATIMAYE JANA PIA NIMEPATA UPDATE YA MIUI9 stable kwa xiaomi yangu ambayo ni.chinese version ila kuna tatizo kubwa naona simu kama ina kata chaji fasta sana naomba msaada wa kufanya n minimize matumizi ulaji wa chaji
 
msaada labda unatakiwa usubirie watakapotoa version ingne zaid ambayo itakua optimized kutunza chaj vzur
 
HATIMAYE JANA PIA NIMEPATA UPDATE YA MIUI9 stable kwa xiaomi yangu ambayo ni.chinese version ila kuna tatizo kubwa naona simu kama ina kata chaji fasta sana naomba msaada wa kufanya n minimize matumizi ulaji wa chaji
coz tatizo limeanza baada ya ku update kwenda MIUI 9, so itakua ni Software yenyewe ndo yenye kuitaji optimization
 
Nimetumia aina zote za simu ila believe me iphone na xiaomi ni gumzo!!! Sema iphone haina uhuru wa kufanya mambo mengi kama android ila xiaomi ni best kwangu mimi we endelea tu na tu na unachokiamini ni bora au na wewe ni chizi mabrandy kwamba ukisikia tu sony sijui lg sijui nn unaamini ndio basi
Wabeba power bank
 
Vipi kuna simu inaitwa Ouktel Mwl RCT kwamba inauwezo wa kutunza chaji km kuchaji mara 4 kwa mwezi

Naomba afafanue zaidi na je, kuna amewahi kuitumia?
 
Siku umevunja Touch, inakubidi wende China ukaweke touch nyingine.
 
HATIMAYE JANA PIA NIMEPATA UPDATE YA MIUI9 stable kwa xiaomi yangu ambayo ni.chinese version ila kuna tatizo kubwa naona simu kama ina kata chaji fasta sana naomba msaada wa kufanya n minimize matumizi ulaji wa chaji
Mkuu sio wewe peke yako nimeona kwa forum ya xiaomi watu wanalalamika pia, hopefully next update watarekebisha.
 
Back
Top Bottom