Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hatimae nimehamia katika chama ili Redmi 8A nimenunua Duka la tigo,kwa kweli ipo saafi,korona ikiisha rasmi nitaagiza Redmi Note 7 au 8
Bei gani kiongozi wamekuuzia hao tigo je haijawa locked kutumia tigo tu kwa laini one
 
Jamanii Jamanii....

Natafuta Battery la Xiaomi Redmi5, Nataka kubadilisha...

Tafadhali Msaada wenu,[emoji847][emoji847]
 
Hao ni agent kweli na nilinunua simu ya redmi note 9 pro kutoka kwao mwezi huu wa sita. ila shida yao hawatumi vitu kuja Tanzania.
Asante kwa taarifa mkuu maana kuna siku nitafanya nao biashara ila sikuwa na uhakika. Kama hawatumi simu Tanzania wewe uliwezaje kuipata simu yako au hauko Tanzania?
Kama uko na mbinu tueleze mkuu.
 
Asante kwa taarifa mkuu maana kuna siku nitafanya nao biashara ila sikuwa na uhakika. Kama hawatumi simu Tanzania wewe uliwezaje kuipata simu yako au hauko Tanzania?
Kama uko na mbinu tueleze mkuu.
Uliipataje sasa

Sent
Kuna mtu yupo Nairobi niliungwanishwa nae, ndiye aliyenunulia simu kwa hao jamaa dukani kwao. Baada ya kuninunulia aliituma Mombasa kwa kutumia kampuni ya usafirishaji ya ndani ya Kenya. Mombasa kulikuwa na mtu wa kuupokea, Baada ya kufika Mombasa nikaletewa boda ya horohoro
 
Asee ukitumia mzunguko sana, mie nataka kununua redmi 9 , Ila naona China na mambo ya korona shipping itachelewa,
Redmi9pro iligharimu ngapi had mkononi kwa njia hiyo?
Sent
 
Asee ukitumia mzunguko sana, mie nataka kununua redmi 9 , Ila naona China na mambo ya korona shipping itachelewa,
Redmi9pro iligharimu ngapi had mkononi kwa njia hiyo?
Sent
Ksh 29300
 
Daah kila seller wa aliexpress anagoma kutuma redm note 8 tanzania yaan ni shidaa
 
Daah kila seller wa aliexpress anagoma kutuma redm note 8 tanzania yaan ni shidaa
Agiza kwa hawa jamaa www.avechi.com wapo Kenya, kwasasa hivi wanaweza kuwa hawaship kuja tz sababu ya border kufungwa
Ila kama kuna mtu unamfahamu yupo Kenya mwambie akununulie then acheki na watu wa magari ya mizigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…