pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Simu nzuri lakini ukiagiza haizidi laki nneWakuu nimevutiwa sana na hii kampuni kwa namna ilivyo pigiwa sana chapuo sasa naomba msaada nimevutiwa na hii Xiaomi Redmi 8 64 GB bei wanasema 450000 msaada wa mawazo na utaalam je simu na bei vyaendana?!. Natanguliza shukrani
Sent from my iPhone using JamiiForums