Kikuu sio kama ali express.... Kikuu delivery ya kikuu wanafanya wenyewe lazima uende ofisin kwao au watakuletee ulipo.. Nakikuu ina operate kwenye inch zenye ofis zao tu... Wakat ali ni worldwide shipping utapanga wewe na seller utachagua either kwa posta au express mail kama ups, dhl kwa seller wanaotumia izo njia... Ukitumia aliexpress standard shiping ambayo kwa namna nyingine ni sawa na fulfilled by amazon wao watawatumia singpost kama agent wao... So mzigo wako utaupokea posta kwakutumia postal address au express shiping kwakutumia physical address
Sent using
Jamii Forums mobile app