Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nimetumia aina zote za simu ila believe me iphone na xiaomi ni gumzo!!! Sema iphone haina uhuru wa kufanya mambo mengi kama android ila xiaomi ni best kwangu mimi we endelea tu na tu na unachokiamini ni bora au na wewe ni chizi mabrandy kwamba ukisikia tu sony sijui lg sijui nn unaamini ndio basi
Nikweli hata mm kakwangu sitamani kina blackbery,samsung wala nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kwa Hiyo Sio Kwamba Hawatakiwi Bali Wenyewe Hawajiendeshi Kama Kikuu---


Kikuu sio kama ali express.... Kikuu delivery ya kikuu wanafanya wenyewe lazima uende ofisin kwao au watakuletee ulipo.. Nakikuu ina operate kwenye inch zenye ofis zao tu... Wakat ali ni worldwide shipping utapanga wewe na seller utachagua either kwa posta au express mail kama ups, dhl kwa seller wanaotumia izo njia... Ukitumia aliexpress standard shiping ambayo kwa namna nyingine ni sawa na fulfilled by amazon wao watawatumia singpost kama agent wao... So mzigo wako utaupokea posta kwakutumia postal address au express shiping kwakutumia physical address

Sent using Jamii Forums mobile app




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kutokana na tatizo hili la kuchelewa mizigo, hata aliexpress wameongeza buyer protection kutoka 60 days hadi 90days. Kwa hiyo kama unataka ku order unaweza kuOrder ila hakikisha tu unatumia standard shipping ili likitokea lolote uweze kupata refund.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale wanaotaka kuagiza mizigo labda mtumie express shipping wenye ndege zao mfano DHL UPS ila mkitumia posta naona kama kunashida katika kupata mizigo... Nina mizigo Mitano miwil nmenunua ali express toka tarehe 13 march update ya mwisho ni tareh 20 mwezi wa 3....na mzigo miwil nlinunua ebay lakin seller yupo Estonia nilinunua tarehe 3 mwez wa 3 na update ya mwisho ni tarehe 23 mwezi wa 3 hadi leo hakuna pia kuna mzigo mwingine nnunua ebay seller yupo US na aliship na USPS priority mail update ya mwisho ni tarehe 18 mwezi wa 3.....yaaan nawashaur msiagize mizigo sabab post zinatumia fright za abilia ambazo kwa sasa ndege nying zimesitisha huduma.
...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitakitafuta pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu,,, ata note 7 mpya ni ngumu... kwa note 8 mpya anzakuwa na 380k+ (Hii kama kuna promotion unaweza pata) Ila kikawaida sana sana uwe na 400k+ ndo uhakika zaidi.
Duuuh hakuna aneuza aniuzie tu hata kama imetumika nina shida mkuu
 
Hivi spear zimeshaanza kupatikana hapa bongo,mie Yangu ishapasuka screen.
 
Duuuh hakuna aneuza aniuzie tu hata kama imetumika nina shida mkuu
Google realme x, ukiipenda nnayo nimetumia wiki tu, niliagiza mwezi wa pili ikachelewa sana, nikakata tamaa nikanunua simu nyingine mjini , wiki iliyopita nikaitwa posta nikaichukue , ss sina ishu nayo kivile

Sent
 
Back
Top Bottom