Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sikuwahi kufanya setting za kufungua attachment.Nimesahau jinsi ya kufanya setting hizo.Nikifungua attachment badala ya kufungua kupitia crome inataka ifungue kupitia app ya JF kitu ambacho hakitawezekana.
Default app imekuwa Jf.

Nenda setting kisha apps kisha tafuta app ya jf kisha gusa clear default.

Baada ya hapo ukifungua atachement itakuuliza unataka utumie program gani, chagua chrome.
 
Halotel hasa mjini band yao ni 7(2600) na tigo wanatumia band 800 na 1800.

Hivyo kuna uwezekano wa hio note 8 kuwa ni version isio na band 7

Nimepitia Gsmarena naona kuna version mbili, moja ina band zote za Tanzania kama 3, 7, 20 na 40 wakati nyengine haina band 7 na 20
View attachment 1635248
Mkuu kwenye haya mambo ya electronics wewe ni msaada sana, barikiwa !!!
 
Asanten sana kwa wale wote ambao kupitia uzi huu nimewafanya pengine mmefungua akili na kufikiria kuitumia kampuni hii bora ya kichina ambayo ni mkombozi kwetu sie walala hoi. Pia kupitia uzi huu kumekua na changamoto ya upatikaji aa simu tajwa hapo juu hivyo kukapelekea watu wengi kujifunza manunuzi ya mtandaoni ili kuipata xiaomi.
Tuzid kufundishana na kuelekezana pale inapobidi.
Simu mpya anayoizungumzia chief mkwawa ni hii hapa chini.

POCO M 3.
IMG_20201126_223005.jpg
 
Chief Mkwawa Nimejaribu kununua ila wanasema poco store haiship kuja tanzania. Nimejaribu kuangalilia kama nitapata kwenye store nyingine nimekosa. Naomba mwongozo wako, Ijumaa nyeusi ndio inaisha hivyo
 
Nimeangalia na mimi naona hivyo hivyo, pengine wana stock ndogo kwa sasa.

Unaweza ukatumia forwarding service sema itaku cost hela zaidi.
 
Mkuu avech hawaship kuja bongo shida nini nmejaribu sana lakn wap!..au tuagizie kupitia app gan nyingne?
Waliacha Kipindi cha Corona, sijui kwanini hawajarudisha.

Kama una mtu unamfahamu anaweza kukutumia kwa basi.
 
Naombeni mniboost jamani kwa ku-Click kwenye hii link ili niweze kupata mpunga kule AliExpress.
One click to get TZS 92,761.70 !#AliExpressbonus #BonusBuddies #AliExpressBlackFriday
Your bonus is waiting to be activated.

Sent from my cupboard using mug
 
Waliacha Kipindi cha Corona, sijui kwanini hawajarudisha.

Kama una mtu unamfahamu anaweza kukutumia kwa basi.
Chief hii simu kwa battery yake unazungumziaje ukaaji wa chaji hebu tuambie kitaalam hapo hatuwez chaji once ndan ya masaa 24 kweli
 
Mkuu kwenye swala LA kukaa na zipo vizur
Mkuu asante kwa jibu ila natak jib la kitaalmu mzee manke hio battery ni uwezo wa powerbank flani, sasa isije ikawa mpangalio na uwiano wa vitu hauko sawa ukakuta goma linakata chaji only 12 hrs au less na kumbuka 18 watt charger kwa hio battery capcity ni mzigo, heri ingekua ata 33 watt. Tutegemee kupoteza mda mwingi kuisubir simu ijae, pia version y bluetooth 4 , kwa sasa inapitwa na wakati na tuko kwa 5 . Kitu kama nfc kinakuja kwa kasi sana sema kibongobongo bado ni sawa na bluetooth kimatumizi so kuna vtu vingi hii simu ina lack na kama xioaom wangekua wanakubali kupokea ushaur kutoka kwa wateja wao ingekua waafanya maboresho tu kwa matoleo kadhaa na kibiashara wangesimama vizuri tu. Mkwawa pia uwepo wa matumiz ya ufs kwa hii simu utachangia kua nyepes kwenye net kuliko note 8? Band zake za 4g kwa chinese version( redmi note9 4g ), zinatumika kwa mitandao ipi ya kibongo?
 
Hio poco? Ngoja kwanza review
Pia kiongozi tumetolewa kwenye corning gorrila glass 5 tumerudishwa nyuma mpk 3 kw tofauti ya pesa almost 20k tu, binafsi nisiwe muongo nilikua nimeoda note 8 pro chinese version lengo likiwa nifate chinese features ila kwa kua nimekosa seller alileta ujanja ujanja nimeoda hio chinese version yake ila hapo hakun upgrade ni downgrade na nin komaa tu mpka nipate pesa ya mi series ndio nitahami huko.
USHAURI WANGU WENYE NOTE 8 SERIES ATA NOTE 7 UKIENDA KUNUNUA HII POCO 3 UJUE UMESHUKA HUJA UPGRADE, MANAKE ATA HARDWARE YA NNOTE 8 NA NOTE 7 NI NZURI ZAIDI NA ZAIDI
 
Haimake sense kwa mwenye note 8 kununua Poco M3, siwezi sema ni downgrade ila ni sidegrade,

Note 8 itakuwa na camera nzuri, gorilla 5 kama ulivyosema na pengine ni premium zaidi.

Poco m3 ina Ufs memory, battery kubwa na ni bei rahisi zaidi.

Hivyo kama una redmi note 8 tayari hakuna haja ya ku upgrade huko, ila kwa ambae hana ni vyema kununua poco m3.

Redmi note 8 vyema subiria redmi note 10.
 
Naomba nikuulize mkuu, ninatumia Xiaomi Redmi note 8 Chinese Version. Nina laini ya Halotel ambayo ni 4G lakini ukiweka kwenye hii simu inaonesha H+ tu lakini nikiweka laini ya Tigo napata huduma ya 4G. Shida ni nini hapo?
Ninayo kama hii bro ila inasoma 4g line zote Sasa shida ipo kwenye 4g ya halotel iko chini Sana kwenye performance nikalazimika iwe 3g tu hapo kasi ikawa OK.
Shida moja nataka nijue wewe kwenye search engine yako je umeweza kuinstall Google? Na kama ndio uliwezaje maana kwangu imeshindikana natumia Chrome
 
Back
Top Bottom