Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sikuwahi kufanya setting za kufungua attachment.Nimesahau jinsi ya kufanya setting hizo.Nikifungua attachment badala ya kufungua kupitia crome inataka ifungue kupitia app ya JF kitu ambacho hakitawezekana.Unapata error gani?
Yah wamebadili mkuu, hata mimi najua tu za Tz nyengine mpaka nigoogle.
Zipo wikipedia namba na frequency angalia hapa.
Default app imekuwa Jf.Sikuwahi kufanya setting za kufungua attachment.Nimesahau jinsi ya kufanya setting hizo.Nikifungua attachment badala ya kufungua kupitia crome inataka ifungue kupitia app ya JF kitu ambacho hakitawezekana.
Mkuu kwenye haya mambo ya electronics wewe ni msaada sana, barikiwa !!!Halotel hasa mjini band yao ni 7(2600) na tigo wanatumia band 800 na 1800.
Hivyo kuna uwezekano wa hio note 8 kuwa ni version isio na band 7
Nimepitia Gsmarena naona kuna version mbili, moja ina band zote za Tanzania kama 3, 7, 20 na 40 wakati nyengine haina band 7 na 20
View attachment 1635248
Chief Mkwawa Nimejaribu kununua ila wanasema poco store haiship kuja tanzania. Nimejaribu kuangalilia kama nitapata kwenye store nyingine nimekosa. Naomba mwongozo wako, Ijumaa nyeusi ndio inaisha hivyoNdio imetoka hivi, Aliexpress wanayo ila naona bei wameikosea, watarekebisha muda si mrefu
Nimeangalia na mimi naona hivyo hivyo, pengine wana stock ndogo kwa sasa.Chief Mkwawa Nimejaribu kununua ila wanasema poco store haiship kuja tanzania. Nimejaribu kuangalilia kama nitapata kwenye store nyingine nimekosa. Naomba mwongozo wako, Ijumaa nyeusi ndio inaisha hivyo
Asante chief, Ngoja tusubiri. Hilo punguzo lao likiisha naona kabei kanaweza kakachangamka!Nimeangalia na mimi naona hivyo hivyo, pengine wana stock ndogo kwa sasa.
Unaweza ukatumia forwarding service sema itaku cost hela zaidi.
Mkuu avech hawaship kuja bongo shida nini nmejaribu sana lakn wap!..au tuagizie kupitia app gan nyingne?Agizia kenya Na note 9 pro max na 9s ni kama simu moja tu utofauti mdogo.
Sio kwamba version ya 128gb ndio ipo kwenye punguzo la $10? Ya $129 pia ina punguzo?Asante chief, Ngoja tusubiri. Hilo punguzo lao likiisha naona kabei kanaweza kakachangamka!
Waliacha Kipindi cha Corona, sijui kwanini hawajarudisha.Mkuu avech hawaship kuja bongo shida nini nmejaribu sana lakn wap!..au tuagizie kupitia app gan nyingne?
Sina ndugu yeyote huko!Waliacha Kipindi cha Corona, sijui kwanini hawajarudisha.
Kama una mtu unamfahamu anaweza kukutumia kwa basi.
Chief hii simu kwa battery yake unazungumziaje ukaaji wa chaji hebu tuambie kitaalam hapo hatuwez chaji once ndan ya masaa 24 kweliWaliacha Kipindi cha Corona, sijui kwanini hawajarudisha.
Kama una mtu unamfahamu anaweza kukutumia kwa basi.
Hio poco? Ngoja kwanza reviewChief hii simu kwa battery yake unazungumziaje ukaaji wa chaji hebu tuambie kitaalam hapo hatuwez chaji once ndan ya masaa 24 kweli
Mkuu kwenye swala LA kukaa na zipo vizurChief hii simu kwa battery yake unazungumziaje ukaaji wa chaji hebu tuambie kitaalam hapo hatuwez chaji once ndan ya masaa 24 kweli
Mkuu asante kwa jibu ila natak jib la kitaalmu mzee manke hio battery ni uwezo wa powerbank flani, sasa isije ikawa mpangalio na uwiano wa vitu hauko sawa ukakuta goma linakata chaji only 12 hrs au less na kumbuka 18 watt charger kwa hio battery capcity ni mzigo, heri ingekua ata 33 watt. Tutegemee kupoteza mda mwingi kuisubir simu ijae, pia version y bluetooth 4 , kwa sasa inapitwa na wakati na tuko kwa 5 . Kitu kama nfc kinakuja kwa kasi sana sema kibongobongo bado ni sawa na bluetooth kimatumizi so kuna vtu vingi hii simu ina lack na kama xioaom wangekua wanakubali kupokea ushaur kutoka kwa wateja wao ingekua waafanya maboresho tu kwa matoleo kadhaa na kibiashara wangesimama vizuri tu. Mkwawa pia uwepo wa matumiz ya ufs kwa hii simu utachangia kua nyepes kwenye net kuliko note 8? Band zake za 4g kwa chinese version( redmi note9 4g ), zinatumika kwa mitandao ipi ya kibongo?Mkuu kwenye swala LA kukaa na zipo vizur
Pia kiongozi tumetolewa kwenye corning gorrila glass 5 tumerudishwa nyuma mpk 3 kw tofauti ya pesa almost 20k tu, binafsi nisiwe muongo nilikua nimeoda note 8 pro chinese version lengo likiwa nifate chinese features ila kwa kua nimekosa seller alileta ujanja ujanja nimeoda hio chinese version yake ila hapo hakun upgrade ni downgrade na nin komaa tu mpka nipate pesa ya mi series ndio nitahami huko.Hio poco? Ngoja kwanza review
Haimake sense kwa mwenye note 8 kununua Poco M3, siwezi sema ni downgrade ila ni sidegrade,Pia kiongozi tumetolewa kwenye corning gorrila glass 5 tumerudishwa nyuma mpk 3 kw tofauti ya pesa almost 20k tu, binafsi nisiwe muongo nilikua nimeoda note 8 pro chinese version lengo likiwa nifate chinese features ila kwa kua nimekosa seller alileta ujanja ujanja nimeoda hio chinese version yake ila hapo hakun upgrade ni downgrade na nin komaa tu mpka nipate pesa ya mi series ndio nitahami huko.
USHAURI WANGU WENYE NOTE 8 SERIES ATA NOTE 7 UKIENDA KUNUNUA HII POCO 3 UJUE UMESHUKA HUJA UPGRADE, MANAKE ATA HARDWARE YA NNOTE 8 NA NOTE 7 NI NZURI ZAIDI NA ZAIDI
Ninayo kama hii bro ila inasoma 4g line zote Sasa shida ipo kwenye 4g ya halotel iko chini Sana kwenye performance nikalazimika iwe 3g tu hapo kasi ikawa OK.Naomba nikuulize mkuu, ninatumia Xiaomi Redmi note 8 Chinese Version. Nina laini ya Halotel ambayo ni 4G lakini ukiweka kwenye hii simu inaonesha H+ tu lakini nikiweka laini ya Tigo napata huduma ya 4G. Shida ni nini hapo?