Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hii kwenye issue ya data iko vzri shida Ina cancel mawasilino ukipigiwa haupstikani hadi uweke auto
 
Laki tano kamili ndani ya siku mbili

0692119300 nione wasap

Mkuu unapatikana wapi nije nichukue, naitaka hii simu tatizo sina mtu ninayemjua akaninunulie kenya, kama kwa pesa hiyo ikiwa mpya niko tayari kutoa, redmi note 9s ram 6gb rom 128gb
 
Redmi note 8 pro yangu imezingua kioo wakuu, ntapata wapi replacement??
 
MSAUZY aliniagizia na ilipofika aliniwekea Google play.
 
Kwa anayetaka poco m3 arnde gearbest ipo kwa 129 ile ya 64gb....pia kumbukeni ii simu licha ya kuwa na gorila glas 3 sim ina Amoled so lazima wa compromise sehem ili waweke kitu kizur sehem nyingine...

Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa ushauri
Pocco m3 au note 9s
Note 9s nzuri zaidi, sema ni simu mbili zenye bei mbili tofauti. Poco ni Around laki 3 mpaka 3 na nusu, 9s ni laki 4 mpaka 5.

Kama unahitaji perfomance kubwa 9s ni nzuri kama unataka simu ya kawaida tu ya kufanyia mishe za kila siku poco m3 ni nzuri.

Na poco m3 huku kwetu itakuja kam Redmi note 9 4g.
 
nataka kuchukua redmi note 9 pro max bei itakua poa nikinunua Tz au online?
 

Hapo unaposema huku kwetu inakuja Kama note 9 4g sijakuelewa
 
Ajabu naona store nyingi aliexpress Hadi fantaccy hawaship tena kuja Tanzania sijui kimetokea nn
 
Hapo unaposema huku kwetu inakuja Kama note 9 4g sijakuelewa
Poco na Xiaomi ni kampuni moja, walipozindua poco wamezindua na hio redmi note 9 4g, simu ile ile majina tofauti.

Huku kwetu zinakuja redmi sana kuliko poco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…