Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Iatakuwa ya 64 gb 128 hata aliexpress imechangamka Bei
Chief unaizumgumsiaje chipset ya media tek 800u 7nm , ?
Kama upo tayari kuishi na weakness za mediatek si soc mbaya, ina core 2 za Cortex A76, ina maana perfomance yake itakuwa Kubwa kwa daily activities.
 
Wakuu mimi natumia simu redmi note 5pro, ila kioo kimevunjika, nahitaji kioo ila bado inafanya kazi
 
Guys nina Redmi K20 Pro. Nahitaji exchange na simu yoyote kali. I wish nipate s10 plus.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…