42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,833
- 8,853
Aiseee hebu subirisubiri.... Mzigo utakuja tu. Mara ya kwanza kuagiza mzigo nilikuwa kama wewe.Jameni nisaidieni, nimeagiza mzigo tarehe 11/01/2021 lakini mpaka sasa mzigo umeganda overseas office tangu 17/01/2021 sijui Kuna yeyote anaweza nisaidia kujua wapi umefika na nifanye Nini labda.
RB051347735SG tacking number hiyo hapo.
Asanteni Sana.