Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Aiseeee... Hiyo note 9 hapana. I hate simu zenye Soc ya MTK na Fingerprint nyuma. Angalau ingekuwa kuanzia Redmi Note 9 Pro.
mzee nina note 94g ambayo sio mtkna fingerprintyakeni side mounted ikiwa na gb 128pamoja na note 8t
 
nimekuekea ushahidhuo mzee ,pia napenda kuuliza nifanyaje ili simu yangu ingine iwe na muonekano kama hii attachment ya chini hapa
 
Aiseee Labda nijaribu kuangalia kwa mapana.


8T ni GB ngapi?
 
Redmi note 8 used

Ram 4GB

Rom 64GB

Camera 48mp triple camera

Simu iko vizuri sana

Bei 280,000/-
 
Jameni nisaidieni, nimeagiza mzigo tarehe 11/01/2021 lakini mpaka sasa mzigo umeganda overseas office tangu 17/01/2021 sijui Kuna yeyote anaweza nisaidia kujua wapi umefika na nifanye Nini labda.

RB051347735SG tacking number hiyo hapo.

Asanteni Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…