Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kuna jamaa yangu n mwanafunzi wa upilot anakuja sana mara kwa mara HTDA (JNIA) nimemwambia ajarib kila akijaaje na pisi kadhaa atapiga pesa .Chief mi store ya kenya wako complete ata ukitka kijiko cha xiaomi unapata😄 Siku wakija bongo tekno na infinix watahamia nguruka
MI mwenyewe naona ni opportunity, mtu alie Kenya anaweza kuanzisha biashara ya ku post hizi mambo, kuna vitu vingi sana vya Electronic Kenya kwa bei reasonable.
 
Xiaomi alikuwa anakuja Kenya na Tanzania pamoja, issue ni kwamba hapa kuna watu walileta figisu figisu.
 
Hiv hatuwez kuwaomba sana Xiaomi warudi Tz na kuwajulisha kwamba Mambo huku yamechange?
Kampuni haina njaa sio ya kuibembeleza tubadilike wabongo Aliexpress kwenyewe item nying seller halet bongo kenya zinaenda why
 
Hiv hatuwez kuwaomba sana Xiaomi warudi Tz na kuwajulisha kwamba Mambo huku yamechange?
kama unafikiria ni awamu iliopita sio hio. hili lilitokea toka awamu ya 4 na tetesi tetesi kuna kampuni inaitwa MI ilikuwa inatengeneza feature phone, hivyo haiwezi kuja kampuni nyengine ikatumia jina hilo hilo, wangetakiwa wabadili jina.
 
Sijaelewa
 
Na kwa kuongezea tu leo kuna sell simu ziko kwenye mapunguzo makubwa tu ! S kwingine ni huko duniani kazi kwenu
Ivi ni samsung a21 au s21....hapa bongo laki sita kule inauzwa 280 mpaka inakufikia.....ni yenyewe kweli mdau
 
[emoji23][emoji23][emoji23]tecno watahamia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…