Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sehemu yoyote ambayo Samsung wanauza official kama Amazon.
Ok nilikua na mpango wa kuagizia tv hisense nch43 smart ila kule ali express sizioni kabisa....


Nisaidie mdau na bei yake huko duniani
 
Huu mwonekano wa redmi 9 simu ukipga au ikipgwa hauvutii kabsa Bora wangeweka black aiseee
 
Wakuu naomba kujua kuna tofaut yoyote
Kat ya hiz sim mbili redmi 9 na 9t
Ukiacha mwonekano wao wa nje ndo naona tofaut
 
Wakuu tigo mlimani city naona redmu note 9 tsh500000 inakuja na offer ya data gb78 mwaka mzima
 
Wakuu nna simu yangu redmi 9a imekula
mzinga kioo kimeharibika naweza kupata wapi spare ya kioo chake
MSAADA TAFADHALI[emoji120]
 
Xiaomi Users TZ [emoji1241]
Welcome to Xiaomi Fans & Users TZ Group! [emoji4] Feel free to share your experiences with others, Your New Xiaomi brands, MIUI New features & Online Shopping and purchases experiences from Aliexpress, Amazon, eBay, Banggood, Taobao, Gearbest, Alibaba e.t.c...!
 
kama unafikiria ni awamu iliopita sio hio. hili lilitokea toka awamu ya 4 na tetesi tetesi kuna kampuni inaitwa MI ilikuwa inatengeneza feature phone, hivyo haiwezi kuja kampuni nyengine ikatumia jina hilo hilo, wangetakiwa wabadili jina.
Mkuu em tuelezee hii kwa kina kidogo kama hutojali, kuna kitu sijaelewa [emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…