Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

[emoji91]
IMG_20210522_181424.jpg
IMG-20210522-WA0009.jpg

Sent from my Redmi 3X using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, XIAOMI POCO M3 ni simu nzuri sana, kama hauhitaji mambo mengi. Kwa habari ya charge usipime battery 6000mah. Kwa kifupi ni simu sahihi kwa wazee wa kazi.
 
Back
Top Bottom