KENNY JEEZY
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 271
- 275
Ni lowend haina maaajabu sana. Kiufupi kama matumizi yako ni ya kawaida kabisa chukua. Tofauti na hapo kupanda juu kidogo chukua Redmi 10CMsaada wa ubora wa hii
RedMi 9A Specification Brand Name RedMi Model Number 9A CPU Helio G25 RAM 6GB Available ROM 128GB SIM card type Dual card Screen Resolution 1600x720 Appearance Slight scratch Screen 6.53 Front Camera 5MP Rear Camera 13MP Grade A ( Good ) Accessories Without accessories Condition Original used chinise version
Hadi kunifikia itagharimu Tsh 310,000
Hio Redmi note 4 umechukua bei gani mkuu?Hello wanajukwaa natumai ni
umeupiga mwingi..Mi5, 64GB nimenunua kwa sababu hakuna simu yenye camera bora kama hii kwenye range ya $200.
umeagiza alibaba au aliexpress maana siku hizi kununua simu online ni bei chee lakini garama ya kukufikia utaumia sana kwenye shipping...Inategemeana na aina ila kariakoo nasikia zipo, mi nilinunua Hong Kong $112.00 na hakuruhusu ununue zaidi ya mbili maana ndo walikuwa wame launch. Nilitaka Tecno lakin hong Kong nzima hakuna tecno ndo wakanishauri Xiaomi. Maana ni copy and paste ya Apple
Shukran kwa ushauri muruaNi lowend haina maaajabu sana. Kiufupi kama matumizi yako ni ya kawaida kabisa chukua. Tofauti na hapo kupanda juu kidogo chukua Redmi 10C
Imefanya nini hiyo Redmi 10C?Mi Redmi 10C
Simu bora ya mwaka kwa kipato cha chiniImefanya nini hiyo Redmi 10C?
Tigoshop Bei ni Cheap zaid ya hio utapoteza. Haizidi 250k.Msaada wa ubora wa hii
RedMi 9A Specification Brand Name RedMi Model Number 9A CPU Helio G25 RAM 6GB Available ROM 128GB SIM card type Dual card Screen Resolution 1600x720 Appearance Slight scratch Screen 6.53 Front Camera 5MP Rear Camera 13MP Grade A ( Good ) Accessories Without accessories Condition Original used chinise version
Hadi kunifikia itagharimu Tsh 310,000
250k VAT inclusive ni 32GB kwa tigoTigoshop Bei ni Cheap zaid ya hio utapoteza. Haizidi 250k.
Nenda China plaza floor ya 2, ulizia Simuhub hapo utapata kila kitu juu ya tatizo la simu za XiaomiSimu yangu inanisimbua inajibonyeza yenyewe, nahisi ni touch ndiyo yenye shida maana imeacha uwazi. Je touch za readmi note 9 pro zinapatikana wapi kwa Dar na bei zake zipoje?
.Nenda China plaza floor ya 2, ulizia Simuhub hapo utapata kila kitu juu ya tatizo la simu za Xiaomi