Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Msaada wa ubora wa hii
RedMi 9A Specification Brand Name RedMi Model Number 9A CPU Helio G25 RAM 6GB Available ROM 128GB SIM card type Dual card Screen Resolution 1600x720 Appearance Slight scratch Screen 6.53 Front Camera 5MP Rear Camera 13MP Grade A ( Good ) Accessories Without accessories Condition Original used chinise version

Hadi kunifikia itagharimu Tsh 310,000
Ni lowend haina maaajabu sana. Kiufupi kama matumizi yako ni ya kawaida kabisa chukua. Tofauti na hapo kupanda juu kidogo chukua Redmi 10C
 
Inategemeana na aina ila kariakoo nasikia zipo, mi nilinunua Hong Kong $112.00 na hakuruhusu ununue zaidi ya mbili maana ndo walikuwa wame launch. Nilitaka Tecno lakin hong Kong nzima hakuna tecno ndo wakanishauri Xiaomi. Maana ni copy and paste ya Apple
umeagiza alibaba au aliexpress maana siku hizi kununua simu online ni bei chee lakini garama ya kukufikia utaumia sana kwenye shipping...
 
Msaada wa ubora wa hii
RedMi 9A Specification Brand Name RedMi Model Number 9A CPU Helio G25 RAM 6GB Available ROM 128GB SIM card type Dual card Screen Resolution 1600x720 Appearance Slight scratch Screen 6.53 Front Camera 5MP Rear Camera 13MP Grade A ( Good ) Accessories Without accessories Condition Original used chinise version

Hadi kunifikia itagharimu Tsh 310,000
Tigoshop Bei ni Cheap zaid ya hio utapoteza. Haizidi 250k.
 
Redmi latest ni ipi?
Redmi K50 Ultra

IMG_20220817_164749.jpg
 
Simu yangu inanisimbua inajibonyeza yenyewe, nahisi ni touch ndiyo yenye shida maana imeacha uwazi. Je touch za readmi note 9 pro zinapatikana wapi kwa Dar na bei zake zipoje?
 
Simu yangu inanisimbua inajibonyeza yenyewe, nahisi ni touch ndiyo yenye shida maana imeacha uwazi. Je touch za readmi note 9 pro zinapatikana wapi kwa Dar na bei zake zipoje?
Nenda China plaza floor ya 2, ulizia Simuhub hapo utapata kila kitu juu ya tatizo la simu za Xiaomi
 
REDMI NOTE 10 FOR SALE( clean as new)
Haina mpasuko popote.
ROM: 128gb
RAM: 6gb
Price: 520k( kwa maelewano zaidi Njoo PM)
IMG_20220926_155658.jpg
 
Attachments

  • IMG_20220926_155936.jpg
    IMG_20220926_155936.jpg
    47.4 KB · Views: 42
  • IMG_20220926_160050.jpg
    IMG_20220926_160050.jpg
    49.4 KB · Views: 40
Redmi 9T inachangamoto ya ukireboot haiwak tena had ukaishtue tena kule ndan kwa kuifungua.
 
Back
Top Bottom