Dhuuuuuu na ndo nlikua nataka kuichukuaRedmi 9T inachangamoto ya ukireboot haiwak tena had ukaishtue tena kule ndan kwa kuifungua.
Ndio hvyo sema inatengenezeka kirahis sanaDhuuuuuu na ndo nlikua nataka kuichukua
Mwisho nikaangukia 9 ambayo cjawah
Kuijutia kabisa
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Hata hiyo 9 usizoee kui reboot, miui sio stable kabisaDhuuuuuu na ndo nlikua nataka kuichukua
Mwisho nikaangukia 9 ambayo cjawah
Kuijutia kabisa
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Redmi latest ni ipi kwa sasa?Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya!
Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Note 12, pro, plus na redmi 11Redmi latest ni ipi kwa sasa?
Naombeni link ya lile group letu la Xiaomi kule telegram
ShukraniXiaomi Users TZ ๐น๐ฟ
Karibu kwenye official group la fans na watumiaji wa simu za Xiaomi n.k ๐น๐ฟ, Kua huru ku share ujuzi na uzoefu wako wa kutumia simu hizi, Features mpya za MIUI na uzoefu wa manunuzi kutoka Aliexpress, Amazon, eBay, Banggood, Taobao, Gearbest, Alibaba n.kt.me
Ahsante mkuuHata hiyo 9 usizoee kui reboot, miui sio stable kabisa
Zunguka kwa mafundi simu unaweza kupata. Ikishindikana chukua AliExpress then peleka kwa fundi akubadilishieHabari wadau wa Xiaomi, natumia redmi note 11s ina camera nzuri Sana, Jana nilipata ajali pikipiki, Ile cover inayofunika camera kubwa imeharbka vibaya na kutoka. Nilivyojaribu camera naona nikiweka angle 0.6x inatoa vzr Ila nikiongeza mfano 1x au 2x inatoka ikiwa sio clear kabisa. Naomba kujua kama tatzo linarekebshika na pili naomba kujua kama back cover ya camera inapatikana maana lens ipo nje
Mshauri aagize na camera nyingine hiyo haiwezi tena kuwa naubora ule wa awali, sababu ya kuingia vumbi, nkZunguka kwa mafundi simu unaweza kupata. Ikishindikana chukua AliExpress then peleka kwa fundi akubadilishieView attachment 2450926
Tuone kapicha mkuu...!Nauza redmi 9 tsh 170,000 clean as new
Nauza redmi 9 tsh 170,000 clean as new
Nauza redmi 9 tsh 170,000 clean as new
Ziko poa sana kikubwa ni kujua tu Xiaomi ipi itakufaa kulingana na bajeti yako๐๐๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐๐ฃ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ก๐ข๐ณ๐จ, ๐ฏ๐ข๐ฉ๐ข ๐ณ๐ข๐ค๐จ ๐ฉ๐จ๐ฐ๐??? ๐๐ฐ๐ ๐ฆ๐๐๐ง๐ ๐ง๐ข๐ฆ๐๐๐ก๐จ๐ค๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐ ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ณ๐ ๐๐๐๐ง๐จ.
Kwa sh 350,000Ziko poa sana kikubwa ni kujua tu Xiaomi ipi itakufaa kulingana na bajeti yako