Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hello wanajukwaa natumai ni wazima wa afya!

Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.

BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.

KARIBUNI
Redmi latest ni ipi kwa sasa?
 
Naombeni link ya lile group letu la Xiaomi kule telegram
 
XIAOMI TELEGRAM FANS GROUP

Habari wadau wa Xiaomi, natumia redmi note 11s ina camera nzuri Sana, Jana nilipata ajali pikipiki, Ile cover inayofunika camera kubwa imeharbka vibaya na kutoka. Nilivyojaribu camera naona nikiweka angle 0.6x inatoa vzr Ila nikiongeza mfano 1x au 2x inatoka ikiwa sio clear kabisa. Naomba kujua kama tatzo linarekebshika na pili naomba kujua kama back cover ya camera inapatikana maana lens ipo nje
 
Zunguka kwa mafundi simu unaweza kupata. Ikishindikana chukua AliExpress then peleka kwa fundi akubadilishie
IMG_20221218_182031.jpg
 
𝐖𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐡𝐢𝐳𝐨, 𝐯𝐢𝐩𝐢 𝐳𝐢𝐤𝐨 𝐩𝐨𝐰𝐚??? 𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐜𝐡𝐨𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐳𝐚 𝐓𝐞𝐜𝐧𝐨.
 
Ziko poa sana kikubwa ni kujua tu Xiaomi ipi itakufaa kulingana na bajeti yako
 
Back
Top Bottom